Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.

2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.

3. Ukifunga ndoa.

4. Ukinunua gari lako la kwanza.

5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)

6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga

7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi

8. Kutunukiwa mara ya kwanza

Kama ipo nyingine ongezea....
 
Back
Top Bottom