Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Manzi kama yule sio rahisi kumpata dunia ya leo iliojaa wanawake wapiga mizinga na wapenda magari utadhani wanataka kuwa Konda
Mimi nilicheka pale wakati wanatafuta chumba Gonza sijui Chioko alipofika nyumba ya kwanza akaulizwa je umeoa?
Akasema hapana.
akaaambiwa kama haujaoa humu hautakiwi kukaa coz wengi humu wameoa utasumbua wanawake wa wenzako.

Akaenda nyumba ya 2 akaulizwa umeoa akasema ndio akulizwa mke wako anafanya kazi gan akasema ni sekretari akaambiwa wanaofanya kaz maofisin wanajishaua sana na wana dharau kwahiyo hapa hatuwatak

Akaenda nyumba ya 3 akaulizwa una kula kitimoto akawema hapana akaambiwa basi sisi humu wote tunakula kitimoto usije ukajisikia vibaya bure

Akaenda nyumba ya 4 akaulizwa unakula kitimoto akasema ndio akaambiwa humu ndan wote ni waislamu hatutak mtu ale kitimoto
 
yah, nimekisoma kitambo sana sikumbuki plot yake.
Kinavyaanza ni kwamba kuna watalii walikuwa nchi ya Cameroon sasa walikuwa wanaelekea nchi ya Guinea walipokarikia kijiji filan wakasikia ngoma inapigwa si unajua tena la mgambo likilia kuna jambo?
Walipoenda pale ilikuwa ni jioni baada ya kupata chakula walichopewa na wenyeji wakaenda eneo lililokuwa linapigwa ngoma wakamkuta kijana amezungukwa na watu amechoka balaa na yupo katika hali ya kukata roho anawapa mfupo(begi) kisha akakata roho.
Baada ya mazishi yaliyofanyika usiku huohuo wakagundua ndani ya ule mkoba kuna vitabu viwili ambavyo marehemu alikuwa anaandika kama DIARY yake ya mambo yoye yaliyowahi kumkuta.
Wale wazungu wakaanza kukisoma hapo ndio story imapoanza
 
Ebwanaa eeeh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....mbona walikuvuruga hivoo?
Yaan siku zote nilikuwa nasoma English Language lakini upande wa pili kumbe bibi ndalichako na jopo lake wameniweka kundi la wanapiga Literature.
Na English Language nilikuwa sipati chini ya 70 hadi mwalimu wangu wa kike alikuwa ananisifia balaa
 
Kinaitwaje hicho mkuu jina na nani author??

Kesho naenda na huu uzi posta navinunua vyote hivi daadeki
 
I can feel ur pain[emoji22] inauma balaa...shukuru hata hiyo D mkuu
 
Kinaitwaje hicho mkuu jina na nani author??

Kesho naenda na huu uzi posta navinunua vyote hivi daadeki
Kinaitwa THE HOUSEBOY mtunzi ni FERDINAND OYONO MBIA

FERDINAND OYONO MBIA ni mpwa wa yule jamaa anayeitwa GIULLAUME OYONO MBIA aliyeandika kile kitabu cha THREE SUITOR ONE HUSBAND
 
Kinaitwa THE HOUSEBOY mtunzi ni FERDINAND OYONO MBIA

FERDINAND OYONO MBIA ni mpwa wa yule jamaa anayeitwa GIULLAUME OYONO MBIA aliyeandika kile kitabu cha THREE SUITOR ONE HUSBAND
Eeeh asante sana...kizuri sana eeeh??
 
I can feel ur pain[emoji22] inauma balaa...shukuru hata hiyo D mkuu
kuna majamaa walipiga msuli kama miez 10 lakini wapi Msuli tembo.matokeo sisimizi.

Yaani kama sio Literature now ningekuwa Advance pale Airwing High School maeneo ya Ukonga au Jitegemee JKT High School
 
"He(Okonkwo)was not afraid of war,he was a man of action...a man of war not like his father who could not stand at the see of blood.In the latest war of Umuofia Okonkwo was the first to bring human head at home"
Okonkwo kupeleka kichwa cha binadamu home alikuwa anavimba kichwa balaa[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…