Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
Manzi kama yule sio rahisi kumpata dunia ya leo iliojaa wanawake wapiga mizinga na wapenda magari utadhani wanataka kuwa Kondaumemsahau demu wa Gonza anaitwa Neli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manzi kama yule sio rahisi kumpata dunia ya leo iliojaa wanawake wapiga mizinga na wapenda magari utadhani wanataka kuwa Kondaumemsahau demu wa Gonza anaitwa Neli
Who is that?"A boy from umofia(koromije)"
viroba umepata wapi usiku huu?"A boy from umofia(koromije)"
Father Vangermayorkile cha wakina madame Suzy na wakina padri Robert?
yah, nimekisoma kitambo sana sikumbuki plot yake.Father Vangermayor
Madame Suzy
Toundi
Sophia
Mimi nilicheka pale wakati wanatafuta chumba Gonza sijui Chioko alipofika nyumba ya kwanza akaulizwa je umeoa?Manzi kama yule sio rahisi kumpata dunia ya leo iliojaa wanawake wapiga mizinga na wapenda magari utadhani wanataka kuwa Konda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Manzi kama yule sio rahisi kumpata dunia ya leo iliojaa wanawake wapiga mizinga na wapenda magari utadhani wanataka kuwa Konda
Kinavyaanza ni kwamba kuna watalii walikuwa nchi ya Cameroon sasa walikuwa wanaelekea nchi ya Guinea walipokarikia kijiji filan wakasikia ngoma inapigwa si unajua tena la mgambo likilia kuna jambo?yah, nimekisoma kitambo sana sikumbuki plot yake.
DABWho is that?
Owkey...
Yaan siku zote nilikuwa nasoma English Language lakini upande wa pili kumbe bibi ndalichako na jopo lake wameniweka kundi la wanapiga Literature.Ebwanaa eeeh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....mbona walikuvuruga hivoo?
Kinaitwaje hicho mkuu jina na nani author??Kinavyaanza ni kwamba kuna watalii walikuwa nchi ya Cameroon sasa walikuwa wanaelekea nchi ya Guinea walipokarikia kijiji filan wakasikia ngoma inapigwa si unajua tena la mgambo likilia kuna jambo?
Walipoenda pale ilikuwa ni jioni baada ya kupata chakula walichopewa na wenyeji wakaenda eneo lililokuwa linapigwa ngoma wakamkuta kijana amezungukwa na watu amechoka balaa na yupo katika hali ya kukata roho anawapa mfupo(begi) kisha akakata roho.
Baada ya mazishi yaliyofanyika usiku huohuo wakagundua ndani ya ule mkoba kuna vitabu viwili ambavyo marehemu alikuwa anaandika kama DIARY yake ya mambo yoye yaliyowahi kumkuta.
Wale wazungu wakaanza kukisoma hapo ndio story imapoanza
Huyu Chief si yupo kule kwenye A MAN OF THE PEOPLE alimAmber Rutty demu wa ODILI SAMALUCheif nani vile?? Nanga?
I can feel ur pain[emoji22] inauma balaa...shukuru hata hiyo D mkuuYaan siku zote nilikuwa nasoma English Language lakini upande wa pili kumbe bibi ndalichako na jopo lake wameniweka kundi la wanapiga Literature.
Na English Language nilikuwa sipati chini ya 70 hadi mwalimu wangu wa kike alikuwa ananisifia balaa
Kinaitwa THE HOUSEBOY mtunzi ni FERDINAND OYONO MBIAKinaitwaje hicho mkuu jina na nani author??
Kesho naenda na huu uzi posta navinunua vyote hivi daadeki
Eeeh asante sana...kizuri sana eeeh??Kinaitwa THE HOUSEBOY mtunzi ni FERDINAND OYONO MBIA
FERDINAND OYONO MBIA ni mpwa wa yule jamaa anayeitwa GIULLAUME OYONO MBIA aliyeandika kile kitabu cha THREE SUITOR ONE HUSBAND
kuna majamaa walipiga msuli kama miez 10 lakini wapi Msuli tembo.matokeo sisimizi.I can feel ur pain[emoji22] inauma balaa...shukuru hata hiyo D mkuu
Asikwambie mtuEeeh asante sana...kizuri sana eeeh??
Okonkwo kupeleka kichwa cha binadamu home alikuwa anavimba kichwa balaa[emoji23] [emoji23]"He(Okonkwo)was not afraid of war,he was a man of action...a man of war not like his father who could not stand at the see of blood.In the latest war of Umuofia Okonkwo was the first to bring human head at home"