Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

But he never killed even a rat using his gun!!
Alitaka kuua mke.
Chezea mtu anayekoroma weye!
Hahaaa....kwenye kukoroma hapo umenichekesha, anakoroma mpaka geto linatikisika!
 
Mambo Huangamia (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Ilitolewa mwaka wa 1958 . Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na Hakuna Starehe Tena (1960) na
Mshale wa Mungu (1964).


Mkondo wa hadithi
Mhusika mkuu anaitwa Okonkwo , tajiri katika kijiji cha Umuofia . Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na wamisionari Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya Ukristo. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.
mmeanza kukitafsiri?
 
jamaa walikuwa wanafanya ujinga sana.
Walikuwa na msitu wao ambao walikuwa wanatupa uko mapacha na Albino na kulikuwa wamejaa mizimu wengi ukiingia lazima ufe,sasa walipokuja wamisionari wakaomba sehemu ya kujenga kanisa wazee wa kijiji wakawapa ile sehemu ya msitu wakiamini jamaa watakufa hapohapo maana yale ni makazi ya mizimu.
Wamisionari wakafyeka na kujenga kanisa wiki ikapita,mwezi ukapita hadi mwaka hakuna mmisionari aliyekufa,wanakijiji wakaona miungu yao ni chamtoto mbele ya Mungu wa wamisionari wakaanza kujiunga church.
Haahaaa....mila za kiafrika mmh!
 
Mbona na sisi tunao wazuri tu kama Emmanuel Mbogo,Kehizilahabi,Mbunda Msokile,Shaban Robert,Shafi A Shafi na wengine wengi.
Sema hawa wa nchi nyingine hasa za magharibi wamepata exposure kimataifa na wanatumia lugha ya kimataifa-english.
Binafsi naona wamebarikiwa kwenye masuala ya sanaa ndiyo maana hata movie zao huwezi kuzilinganisha na zetu.
Kitu Ngoswe kitovu cha uzembe[emoji39]
 
Omg!....mbona hela kidogo hivoo?....na bado nikifika pale kwa kuwa nanunua vingi ntalia lia anipunguzie nichukue kwa buku tano tano[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo mnapenda kujiliza liza

Sasa ushakubali bei ndogo still unataka uende ukamlalie?
 
Turning and turning in the
widening gyre
The falcon cannot hear the
falconer;
Things fall apart; the centre cannot
hold;
Mere anarchy is loosed upon the
world,
The blood-dimmed tide is loosed,
and everywhere
The ceremony of innocence is
drowned;
The best lack all conviction, while
the worst
Are full of passionate intensity.
Surely some revelation is at hand;
Surely the Second Coming is at
hand.
 
kamzee Mitomingi ngengemkeni kalishitukia mchezo kakachoma karatasi za sensa,kana bahati sana Magufuli alikuwa hajawa Rais kangenyea debe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom