Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Unafikiri huyo anaelewa hhata kinachoongelewa hapa? ameshikwa na butwaa tu kuona ile kawaida ya kusifu na kuabudu mara ghafla imekuwa kinyume chakeHivi kuna la uwongo aliloongea Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri huyo anaelewa hhata kinachoongelewa hapa? ameshikwa na butwaa tu kuona ile kawaida ya kusifu na kuabudu mara ghafla imekuwa kinyume chakeHivi kuna la uwongo aliloongea Lissu?
Wewe ndio umeingia chaka kabisa, kama hujui kitu bora kunyamaza kuliko kuonyesha upupu wako hadharani, toka wikipidiaAcha Kupanic msukule wa lumumba ww... Hapo si umeeleweshwa maana ya sgr sa unataka nn zaidi..... 1067mm ndio nini we mnduku.... Ndio shida ya shule za kata ng'ombe ww
Hizo 1067 ni urefu Dar to Tunduma...... Ile ina 2,000km long mlamba makalio ww ili tu upate cheo
Hata Nicolai Scheshesku alikua na wakina YEHODAVA wake...Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Uwelewa wake ni mdogo sana. Mkuu nishamfafanulia sana ila ni kichwa ngumu hamna kitu hapo.Wewe ndio umeingia chaka kabisa, kama hujui kitu bora kunyamaza kuliko kuonyesha upupu wako hadharani, toka wikipidia
narrow-gauge railway (narrow-gauge railroad in the US) is a railway with a track gauge narrower than standard 1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in). Most narrow-gauge railways are between 600 mm (1 ft 11 5⁄8 in) and 1,067 mm (3 ft 6 in).
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Kosa langu liko wap mpaka unisamehe ww ndo umuombe Mungu akusamehe maana unabisha vitu ambavyo viko wazi. Hamna anayejua kila kitu hata ndugu lisu kuna vitu hajui ndo mana anakosea na kusema uwong, even jpm anadanganya pia.. ww unakuwa corrected unabisha tuu na kutukana watu, thats not fair bro..Nakusamehe bure mbwa ww... 😒😒
Achana kumlinganisha Tundu Lissu na takataka..... Kuna mzee mmoja ana phd yake feki hajui hata kuunganisha sentensi mbili za kiingereza sasa jiulize alikua anasona kwa kihutu?Kosa langu liko wap mpaka unisamehe ww ndo umuombe Mungu akusamehe maana unabisha vitu ambavyo viko wazi. Hamna anayejua kila kitu hata ndugu lisu kuna vitu hajui ndo mana anakosea na kusema uwong, even jpm anadanganya pia.. ww unakuwa corrected unabisha tuu na kutukana watu, thats not fair bro..
Kwenye maelezo yqngu hapo nimewalinganisha kwa lipii... Asee unawezo mdogo sana wa kungamua mambo kishenzi...kama hujui hujui tuu lakini usione aibu kuuliza utafahamishwa mkuu....Achana kumlinganisha Tundu Lissu na takataka..... Kuna mzee mmoja ana phd yake feki hajui hata kuunganisha sentensi mbili za kiingereza sasa jiulize alikua anasona kwa kihutu?
Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....sawa nyinyi kima wa DJ teteeni ruzuku azipige.
CCM can be evil ila jazba baada ya JPM kukamata kontena limetufungua sana tuliokuwa tukimwamini TL.. kumbe alikuwa kwenye payroll na ni mwanasheria na mtetezi wao.
Mwanzoni aliwasumbua sana wazungu...wazungu wana maswali mawili? can we buy him or kill him? TL akanunuliwa. [emoji241][emoji241][emoji3]
Nchi itashtakiwa MIGA ... hadi leo tunasubiri.
Kaja na sound ya machafuko na mahakama ya kimataifa...Nyambaffff[emoji3][emoji3]
Viva Magu
wanyooooosheeeeeeee
Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......
Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
Thanks!Sijui nani anamuandikia speech zake, hata TAZARA haipo kwenye kundi la SRG!!
Track gauge ya TAZARA ni 1067mm ie cape gauge, tukija kwa upana wa Standard Railway Gauge (Stephenson gauge) upana wake ni:1435mm, sasa hivi ni vitu viwili tofauti kabisa - sasa kama Lisu anashindwa masuala ambayo ni too obvious kabisa tunawezaje kuamini Mickey Mouse stories zake siku za usoni.
We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....mizukule ya DJ inajifanyaga inajua sana..
Uzuri DJ mwenyewe Afisa..
Mtei mwenye chama mstaafu...
mmebaki wajingajinga kuandika mitandaoni.
Huna proof ya dili la JPM lolote...
Katumie choo pls upunguze stress
Viva JPM
Usipanic ww msukule wa lumumbaKwenye maelezo yqngu hapo nimewalinganisha kwa lipii... Asee unawezo mdogo sana wa kungamua mambo kishenzi...kama hujui hujui tuu lakini usione aibu kuuliza utafahamishwa mkuu....
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani (Tanga - MWINYI), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro - NYERERE), Rusumo (Kagera- KIKWETE), Songwe (Mbeya - KIKWETE)
TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi. Anaijua migogoro yote ya mipaka ya hifadhi nchi hii, na ardhi za wananchi zilizopokwa bila fidia, kwa sababu alilifanyia utafiti katika kazi yake ya kwanza akitoka chuo.
NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU SIFURI SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.
TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.
SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.
SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki ekari 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali, ikiwemo NAFCO, kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu. Viongozi wengine na matajiri wenye ekari chini ya hapo, elfu 35, elfu 20, elfu 15, elfu 10, elfu 5 ni wengi, wengi, wengi mno. Ambao walipeana kama "wawekezaji" lakini wamezikalia tu. Na ni sababu moja kubwa na migogoro ya wakulima na wafugaji, kupungua kwa ardhi.
NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo. Hoja kuu ya kitabu cha Nyerere inasema jamii inapimwa kwa maendeleo ya watu, sio ya vitu na miundombinu.
TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!
KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendelea kujenga vingine vyote nchini, Magufuli si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.
-----------------------------------------------------------
WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
LISSU ni zaidi ya ma-professa 20 wa CCM. Haya madini ni hatari sanaMOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA

Ni sawa mkuu, nguvu ya hoja ya mwanasiasa yeyote ni kuuza sera hilo halina ubishi lakini la pili ni kuwa na makombora ya madhaifu ya mpinzani wako haya yanaenda sambamba hapo ndipo unamshindilia kwelikweli.Dah Tundu Lisu anapiga pale pale panapouma JPM ataweza kuvumilia kweli maana alizoea kuimbiwa nyimbo za sifa na wapambe