Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Wewe ndio umeingia chaka kabisa, kama hujui kitu bora kunyamaza kuliko kuonyesha upupu wako hadharani, toka wikipidia

narrow-gauge railway (narrow-gauge railroad in the US) is a railway with a track gauge narrower than standard 1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in). Most narrow-gauge railways are between 600 mm (1 ft 11 5⁄8 in) and 1,067 mm (3 ft 6 in).

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hata Nicolai Scheshesku alikua na wakina YEHODAVA wake...
 
SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.
[emoji15]
 
Uwelewa wake ni mdogo sana. Mkuu nishamfafanulia sana ila ni kichwa ngumu hamna kitu hapo.
Wameshikiwa akili nikusupport tu sasa hata yasiyo ya ukweli.
 
Nakusamehe bure mbwa ww... 😒😒
Kosa langu liko wap mpaka unisamehe ww ndo umuombe Mungu akusamehe maana unabisha vitu ambavyo viko wazi. Hamna anayejua kila kitu hata ndugu lisu kuna vitu hajui ndo mana anakosea na kusema uwong, even jpm anadanganya pia.. ww unakuwa corrected unabisha tuu na kutukana watu, thats not fair bro..
 
Achana kumlinganisha Tundu Lissu na takataka..... Kuna mzee mmoja ana phd yake feki hajui hata kuunganisha sentensi mbili za kiingereza sasa jiulize alikua anasona kwa kihutu?
 
Achana kumlinganisha Tundu Lissu na takataka..... Kuna mzee mmoja ana phd yake feki hajui hata kuunganisha sentensi mbili za kiingereza sasa jiulize alikua anasona kwa kihutu?
Kwenye maelezo yqngu hapo nimewalinganisha kwa lipii... Asee unawezo mdogo sana wa kungamua mambo kishenzi...kama hujui hujui tuu lakini usione aibu kuuliza utafahamishwa mkuu....
 
Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
mizukule ya DJ inajifanyaga inajua sana..
Uzuri DJ mwenyewe Afisa..
Mtei mwenye chama mstaafu...
mmebaki wajingajinga kuandika mitandaoni.

Huna proof ya dili la JPM lolote...

Katumie choo pls upunguze stress

Viva JPM
 
Thanks!
Kwa ujumla ufahamu wa Lissu uko chini sana! Ndo maana nimekuwa nikiuliza anataka kuwa rais wa aina gani? Rais wa kurekebisha sheria tu, au ana maono gani kuhusu Kilimo, Elimu, Afya, sayansi? Hana uwezo ila basi tu amejaliwa kukosa aibu.

Ukiwauliza wanakwambia soma ilani. Ilani ina taarifa utadhani kitabu cha matukio yajayo!
 
mizukule ya DJ inajifanyaga inajua sana..
Uzuri DJ mwenyewe Afisa..
Mtei mwenye chama mstaafu...
mmebaki wajingajinga kuandika mitandaoni.

Huna proof ya dili la JPM lolote...

Katumie choo pls upunguze stress

Viva JPM
We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....


Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
Kwenye maelezo yqngu hapo nimewalinganisha kwa lipii... Asee unawezo mdogo sana wa kungamua mambo kishenzi...kama hujui hujui tuu lakini usione aibu kuuliza utafahamishwa mkuu....
Usipanic ww msukule wa lumumba
 
Mbona hakuna cha maana hapa cha kusababisha tukuchague uwe Rais
 
LISSU ni zaidi ya ma-professa 20 wa CCM. Haya madini ni hatari sana
 
Kwhy unatak kusema magufuli hajafanya chochote toka aingie madarakani,,,[emoji1745]?
 
Sasa hayo ynatuhusu nn wananchi ambao hatuna maji mbalali Hapa,,, nilikua kweny huu mkutano hkuna Cha maana alichoongea,,,
 
Yani chadema bna, wanalalamika ccm imenunua ndege wakati huo huo wanapanda hizo ndege[emoji23][emoji23] muwe mnaenda mikoani na mabasi
 
Dah Tundu Lisu anapiga pale pale panapouma JPM ataweza kuvumilia kweli maana alizoea kuimbiwa nyimbo za sifa na wapambe
Ni sawa mkuu, nguvu ya hoja ya mwanasiasa yeyote ni kuuza sera hilo halina ubishi lakini la pili ni kuwa na makombora ya madhaifu ya mpinzani wako haya yanaenda sambamba hapo ndipo unamshindilia kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…