ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Wameelewa kazi kwao tar 28/10Hizo ndio sera za Chadema?
Kinachokuuma ni nini hapo?Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Umeshau Save Kwenye Cloud Acha TuTumesha u copy and paste hata ukifutwa.
Basi wewe nenda katangaze sera.Hapa ulichoandika hamna sera hata Moja
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Nani anataka serikali inayoteka na kuuwa watu, mtaondoka tu iwe kwa amani au kwa Shari ni swala la muda.Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hahaha hata yeye anajua hashindi, Lisu atamteua awe mwenyeketi board ya pamba huk asumbuane na wakulima wenzake.Sikuhizi anagawa vyeo barabara I na kwenye kampeni. Mwijage na mama Tibaijuka wameahidiwa teuzi sasa asipo apoishwa siku I itakuaje.
Mkuu nakivulia kofia kwa kujibu hoja za Lissu!Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Huyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo[emoji23][emoji23] maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.
Kuondoana na Utawala mbovu wa CCMBaada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
we mama hulaliHivi kuna la uwongo aliloongea Lissu?
Inakubana eh?Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hilo ni bonge la swaliKwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali