Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Kinachokuuma ni nini hapo?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Nani anataka serikali inayoteka na kuuwa watu, mtaondoka tu iwe kwa amani au kwa Shari ni swala la muda.
 
Sikuhizi anagawa vyeo barabara I na kwenye kampeni. Mwijage na mama Tibaijuka wameahidiwa teuzi sasa asipo apoishwa siku I itakuaje.
Hahaha hata yeye anajua hashindi, Lisu atamteua awe mwenyeketi board ya pamba huk asumbuane na wakulima wenzake.
 
Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Mkuu nakivulia kofia kwa kujibu hoja za Lissu!
Inahitàji ujasiri wa kipekee kujitahidi kutoa majibu pumba Kama yako!
 
Itakua masikio yako hayasikii vizuri.Au umezoea kusikia vitu laini laini vyakudanganywa miaka nenda rudi.Mambo mazito yakupeleka nchi mbele hujayazoea.Fungua kichwa sasa uone wapi tulipokua tunakwama hadi nchi iendelee kua maskini miaka na miaka ili hali ina kila kitu.
Huyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo[emoji23][emoji23] maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.
 
Kesho kelele zote hizo mtamkuta jamaa Lumumba pale kakunja mguu juu ndo mtaelewa siasa,huyo ana bei yake ishapimwa
 
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Inakubana eh?
 
Hizi ni kampeni kijana,lazima au isiwe lazima wananchi wanapaswa kujua na kufahamu mengi ili siku ya chumba kidogo afanye maamuzi sahihi.

Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali

Lkn Yeye akiwa jukwaani kutuambia huyu alikua muuza ndizi,yule pale nimemtoa jalalani,huyu Mama Tibaijuka Mumewe namfahamu,Masilingi ni rafiki yangu saaana ndio maana nikamchagua hizi ndio sera za CCM na zitasaidia kuleta bima ya afya kwa wananchi wote.?
 
Mtu AnaSiri Kama hizo halafu anaomba mdahalo!! Ndiyo maana tunamuogopa.
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hilo ni bonge la swali
 
Ni upotoshaji kusema lisu hana sera vijana wa ccm pitieni hotuba za lisu huko youtube sababu serikali imezuia uhuru wa vyombo vya habari ndo sababu mnashindwa kujibu hoja zake
 
Back
Top Bottom