Sisi watz wote tuko pamoja na Tundu Lissu...... Aendelee tu kupiga spana basiNa bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huu
Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???
Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????
Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara 😂
JPM na jeshi la akiba hawana guts za kujibu hizo makitu toka kwa great Lissu. Wewe huoni hapo juu wanasema eti story na kwamba zinafaida gani Mbalari. Mgombea wao kila mara utasikia tumejenga daraja, sjui vijiji kadhaa vinawaka umeme, mara SGR. Muulize kwa nini kajenga uwanja Chattle?
Kweli kabisa mkuu...... Na sasa nasikia wanaccm wameanza kumshukuru Mungu kwa kumponya mzalendo wa kweli Tundu LissuAisee!. Nimesikishwa sana na hoja namba 4,5,6 na 9.
Kuna umuhimu wa kumstaafisha Magufuli maana hana jipya tena.
una maswali fikilishi[emoji3][emoji3]
Viva JPM
Hahahaaa🤣🤣🤣🤣...... Kumbe ana story tamu😄😄😄😄....... #NiYeye Tundu LissuHuyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo😂😂 maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.
Kaliba ya Sheria inavyozinyoosha Siasa za CCM TanzaniaKwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Lissu asipotoshe dhana ya Uhuru na Maendeleo aliyoijadili kwenye kitabu chake Mwalimu Nyerere mwaka 1968. Kimsingi mwalimu aliamini katika falsafa kuwa uhuru wa bendera tuliopata baada ya kumwondoa mkoloni ulikuwa hautoshi kutoka na kuibuka na ukoloni mambo leo unaosababishwa na mabeberu (imperlists)wa ulaya na Marekani baada ya kugeuza mbinu za kiunyonyaji na kuibuka kwa minyororo ya ugandamizaji kwenye maeneo ya uchumi,siasa na ustawi wa jamii na kiutamaduni baada ya uhuru wabendera 1961.
Hivyo aliona wazi kuwa maendeleo ya taifa ni pamoja na kuutafuta uhuru huo dhidi ya unyonyaji huo mpya ulioibuka na kujificha kwenye misaada na mikopo ya wazungu kwa dhima ya kutuletea maendeleo-Soma kitabu cha Walter Rodney -How Europe Underdeveloped Africa,Cabral, na Silent Class Strugle cha Issa Shivji na wengine. Kimsingi hapa ndipo hoja ya Mwalimu ya kujitegemea kiuchumi ilipoanzia na kujikita akiamini kuwa iwapo tunataka uhuru wa kweli wa kujinasua na unyonyaji wa kiuchumi, na kuingiliwa kisiasa, na kiutamduni ni budi kuacha kutegemea wajomba nje ya nchi kwa kutumia raslimali zetu na si vinginevyo. Siyo dhana ya uhuru anaousema Lissu. Asipotoshe.
Nyie kizazi cha nyoka....Lissu anastress nyingi sana ndo maana anaacha kunadi sera anatoa lawama mwanzo mwisho.
hayo mambo kumi angefafanua yeye angefanya yepi mazuri kuzidi hayo na nijinsi gani atakavyo yafanya pindi kama akipewa Urais.
standard-gauge railway is a railway with a track gauge of 1,435 mm. The standard gauge is also called Stephenson gauge after George Stephenson, International gauge, UIC gauge, uniform gauge, normal gauge and European gauge in Europe.Tazara ni sgr? Za kuambiwa changanya na zako
Ndio wanataka awe Rais Mtu mjinga kama huyu!!!
Hana Nyimbo hana sera, hana lolote zaidi ya Chuki, wenye kuelewa wameshamdharau
Mo Dewji alitekwa au haupo Tanzania na Mawazo kauwawa kwa kukatwa mapanga hujuwi
Mbona keshasema au hutaki!?Huyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo😂😂 maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.
Sera ya Chadema ni kupambana na Ufisadi kama huu ufisadi uliofanyika Chato International Airport kupitia mjomba, mtoto wa dada na mume mwenza.Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
SASA mnafumbuliwa macho ili muanze kutafuta uhuru, haki na maendeleoKwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali