Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Aisee!. Nimesikishwa sana na hoja namba 4,5,6 na 9.
Kuna umuhimu wa kumstaafisha Magufuli maana hana jipya tena.
 
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huu

Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???

Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????

Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara 😂
Sisi watz wote tuko pamoja na Tundu Lissu...... Aendelee tu kupiga spana basi
 
Hlo swali la mwisho alishalijibu kuwa harikwenda nao kaburini
JPM na jeshi la akiba hawana guts za kujibu hizo makitu toka kwa great Lissu. Wewe huoni hapo juu wanasema eti story na kwamba zinafaida gani Mbalari. Mgombea wao kila mara utasikia tumejenga daraja, sjui vijiji kadhaa vinawaka umeme, mara SGR. Muulize kwa nini kajenga uwanja Chattle?
 
Aisee!. Nimesikishwa sana na hoja namba 4,5,6 na 9.
Kuna umuhimu wa kumstaafisha Magufuli maana hana jipya tena.
Kweli kabisa mkuu...... Na sasa nasikia wanaccm wameanza kumshukuru Mungu kwa kumponya mzalendo wa kweli Tundu Lissu
 
Mjue hapo bado hajapasua jipu la magufuli kujiuzia nyumba za serikali ushahidi upo mwingi sn na haya mengine ni misumari ya mwisho mwisho....
 
Huyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo😂😂 maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.
Hahahaaa🤣🤣🤣🤣...... Kumbe ana story tamu😄😄😄😄....... #NiYeye Tundu Lissu
 
Ndugu hebu acha kukariri mchawi wa Afrika n mwafrika mwenyew, hii rushwa iliyotamalaki kila mahali wameisababisha wazungu???
Lissu asipotoshe dhana ya Uhuru na Maendeleo aliyoijadili kwenye kitabu chake Mwalimu Nyerere mwaka 1968. Kimsingi mwalimu aliamini katika falsafa kuwa uhuru wa bendera tuliopata baada ya kumwondoa mkoloni ulikuwa hautoshi kutoka na kuibuka na ukoloni mambo leo unaosababishwa na mabeberu (imperlists)wa ulaya na Marekani baada ya kugeuza mbinu za kiunyonyaji na kuibuka kwa minyororo ya ugandamizaji kwenye maeneo ya uchumi,siasa na ustawi wa jamii na kiutamaduni baada ya uhuru wabendera 1961.

Hivyo aliona wazi kuwa maendeleo ya taifa ni pamoja na kuutafuta uhuru huo dhidi ya unyonyaji huo mpya ulioibuka na kujificha kwenye misaada na mikopo ya wazungu kwa dhima ya kutuletea maendeleo-Soma kitabu cha Walter Rodney -How Europe Underdeveloped Africa,Cabral, na Silent Class Strugle cha Issa Shivji na wengine. Kimsingi hapa ndipo hoja ya Mwalimu ya kujitegemea kiuchumi ilipoanzia na kujikita akiamini kuwa iwapo tunataka uhuru wa kweli wa kujinasua na unyonyaji wa kiuchumi, na kuingiliwa kisiasa, na kiutamduni ni budi kuacha kutegemea wajomba nje ya nchi kwa kutumia raslimali zetu na si vinginevyo. Siyo dhana ya uhuru anaousema Lissu. Asipotoshe.
 
Upuuzi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kushuhudiwa kutamkwa na mtu anaeomba kura
 
Lissu anastress nyingi sana ndo maana anaacha kunadi sera anatoa lawama mwanzo mwisho.
hayo mambo kumi angefafanua yeye angefanya yepi mazuri kuzidi hayo na nijinsi gani atakavyo yafanya pindi kama akipewa Urais.
Nyie kizazi cha nyoka....
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huu

Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???

Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????

Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara 😂
 
Kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo huwezi kumuelewa Tundu lazima utaishia kutukana tu
 
Tazara ni sgr? Za kuambiwa changanya na zako
standard-gauge railway is a railway with a track gauge of 1,435 mm. The standard gauge is also called Stephenson gauge after George Stephenson, International gauge, UIC gauge, uniform gauge, normal gauge and European gauge in Europe.

Jihadharini sn na story za vijiwe vya lumumba nyie misukuke
 
Point namba Sita na namba Tisa zinawatesa sana MaCCM wamebaki wanahaha kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Sera ya Chadema ni kupambana na Ufisadi kama huu ufisadi uliofanyika Chato International Airport kupitia mjomba, mtoto wa dada na mume mwenza.

Una swali lingine??
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
SASA mnafumbuliwa macho ili muanze kutafuta uhuru, haki na maendeleo
Kwa miaka mitano, yule bingwa wa maigizo na majisifu, yesu mkandamizaji wa Burigi, mfuga tausi wa Chamwino, amekuwa akishinda kwenye vyombo vya habari akiwadanganya.
Wakati haleti maendeleo ya kweli ya uchumi kwa Watu wa TZ.
Hana jipya zaidi ya kuwajaza hofu ili aendelee kukandamiza uhuru na haki za wananchi
 
Back
Top Bottom