Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo


Umesahau energy drink inayoitwa power asili
 
Hahaa.no5.
 
Kwa hiyo Mkuu,wanawake wa Kikongo ni wabaya kuliko wanawake wa Kisukuma na Kimakonde?
 
Bana ba Kongo tunapenda kuivala bien ndiyo unakuta kama rakhisi nyoshe anang'hara vile...unamuona khile ndiyo mila yetu.
 
Mbona kinshasa naona kama iko jirani hapo na bahari ya Atlantic inakuwaje na wkt nilikuwa najua congo hakuna bahari
 
Mbona kinshasa naona kama iko jirani hapo na bahari ya Atlantic inakuwaje na wkt nilikuwa najua congo hakuna bahari

Ipo bahari mkuu na bahari ndo imetungenganisha na congo braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…