Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Nimerud sokoni Babu mkweo haelewek kabisa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hahaha ............pole Mjukuu, uje naye Likizo ili tumweke kitimoto

Haiwezekani uteseke wakati Babu yenu nipo ๐Ÿค—
 
Kutokusikiliza, hii kitu ni common sana kwa wanaume wengi sijui kwanini.

Mke akikuambia au kushauri jambo walaaaa hauna muda kabisa, uko tayari kumsikiliza na kufanyia kazi ushauri wa stranger ila sio mke.

Grahams uko wapi nije, sina salio la kukupigia nakufata.
Shida sio ushauri, shida ni tone unayotumia kumshauri mme wako
 
Hili jambo Kwa sehemu kubwa linachangia Wanaume wengi kutoka nje na kumkinai mpenzi wake.

Unakuta Mke muda wote haoneshi kwamba ama hamu ya mb**"oo hadi umuanze.

Wakati huko nje, kabla hata hujapumzika unakuta Bibie ameshatoa bunduki kwenye zipi na kuanza kuimba nayo.

Saa ngapi usimtupie viwili vya haraka haraka ๐Ÿ™Œ
Ukifanya hivyo si atakuona malaya au unapenda sana
 
Unaonekana romantic Sana Na unayajua mapenzi Na Marhaba mkeo anafaidi sana
Maisha yamekaza, bado mume na mke mkaziane teeeenah! Ili iwe nini?!! Ni mwendo wa kustorika, kufurahi, kucheka, kucheza na kuchezeana Kila mpatapo nafasi japo mara moja au mbili kwa mwezi sio vibaya.

Nakulaza chali mguu mmoja kule mwingine huku kisha nakaa kiufundi na Gillette ๐Ÿช’ nakunyoa tartiiibu huku napuliza kistaarabu ile sssaaaphuuuuhhhh!!....aaaphuuuuuu!!!!....aphuuuuuuu!!! ๐Ÿ˜€.

Hapo kwa juu (kinenani) ni sharti nibakishe mavuzi kiasi kwaajili ya kuusisimua ubboor wakati nauparaza paraza niipate ile deep feeling ya maQu yake tamu kama asali. Ukishereheka tu Ute Ute huu hapa, borlo lishadinda aaaayaaaaaaa nakuweka tunawekana ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ

Narudi....๐Ÿšด๐Ÿšด๐Ÿšด๐Ÿšด
 
Ni somo zuri nami naongezea,hii ni kwa pande zote,kuleta ndugu kuja kuishi kwenu bila kujadiliana na mmeo au mkeo,kubadili dini mmoja wenu bila kumshirikisha mwenzie,kuanza staili mpya ya sex ghafla utokapo safari
Sasa kama nimejifunza kwenye kitchen part au group la wanawake jeee iii kuongeza ujuzu
 
Umeandika sahihi kabisa;

Suala la ndugu, limekuwa likichangia migogoro Kwa baadhi ya familia. Hatukatai ndugu kutembeleana, lakini kabla hawajaja, vyema mkajadiliana na Mkeo/Mumeo.

Hilo la kubadiri Dini, ni jambo zito sana. Nafikiri kuna haja, mkafanya mazungumzo marefu kuhusu hatma ya watoto wenu kwenye suala la Imani, inapotokea mmoja wa wanandoa akaamua kubadirisha Dini.

Hilo la ku-practice style mpya mara baada ya kutoka safari, linaweza kuuza mgogoro Mkubwa zaidi unless yatolewe maelezo ya kutosha, ikiwemo na picha mnato za wapi alipojifunzia
Ina maana ukiolwewa mwanzon inabidi ujiachie uoneshe kila unachojua ili baadae asikuulize umejifunzia wapi
 
Ina maana ukiolwewa mwanzon inabidi ujiachie uoneshe kila unachojua ili baadae asikuulize umejifunzia wapi
Vyema mwanzoni uoneshe utundu wote, sio baada ya miaka 5 ya Ndoa/mahusiano ndiyo unaonesha ufundi mpya

Vinginevyo utatakiwa kutoa ushahidi wapi ulipojifunzia, otherwise tuone history kwenye google search yako kwamba nawe ni mdau wa kutazama picha za pilau ๐Ÿ˜œ
 
Back
Top Bottom