Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Naomba sana nisifikie level hiyo
 
Makubwa ni.yapi? Maana kama kutoa manii kidogo wakati wa tendo ni jambo dogo
 
Makubwa ni.yapi? Maana kama kutoa manii kidogo wakati wa tendo ni jambo dogo
Nimesema madogo Kwa maana, Wanaume hupenda kuchulia vitu vingi katika uzito usiostahili.

Mfano hiyo ya kurudi safari na kujinyoa huko huko, ama kabla hujasafiri unaamua kujinyoa.

Sisi Wanaume tunaweza kuchukulia kama jambo Dogo/la kawaida, lakini Kwa Mpenzi wako/Mke likawa kubwa tofauti na tungeweza kudhani
 
Kuoa adhabu. Unaanza kua kama mwanafunzi tena.
Kuoa Kunahitaji maturity kubwa.

Ukikubali Kuoa ama kuolewa, unakuwa umekubali kutoa nusu ya Uhuru wako Kwa mwenzio.

Ulikuwa unarudi nyumbani saa 6 za Usiku, ukishaoa utalazimika kurudi saa 4 usiku ama saa 3.

Kwahiyo kuna hitaji kujitoa ili kufurahia maisha ya Ndoa na mwenza wako
 
Kha mimi sitaweza
 
Mke onesha hamu (nyegge) za kutaka kutombwa na mumeo sio kumuachia jukumu mwanaume kila mtombano mwanzilishi awe mume tu hainogei na Haina mvuto. Ujue mborlo inadinda sana kunapokuwa na hamasa
Hili jambo Kwa sehemu kubwa linachangia Wanaume wengi kutoka nje na kumkinai mpenzi wake.

Unakuta Mke muda wote haoneshi kwamba ama hamu ya mb**"oo hadi umuanze.

Wakati huko nje, kabla hata hujapumzika unakuta Bibie ameshatoa bunduki kwenye zipi na kuanza kuimba nayo.

Saa ngapi usimtupie viwili vya haraka haraka ๐Ÿ™Œ
 
Kha mimi sitaweza
Umri ukisogea sogea na kufika walau 47 hivi unaweza kufanya maamuzi ya Kuoa wakati huo.

Kwasasa wanasema yanini ufuge ng'ombe wakati Maziwa yanapatikana
 
Namba moja weka hii: Kukosa pesa!
 
Kusikiliza ni jambo lingine, kufanyia kazi ni jambo lingine. Atleast mtu awe na uwezo wa kuskiliza
 
Kabisa, mdau inaonesha bado anakula kula Ujana kidogo
Nishaumaliza ujana, nakula raha za ndoa uzeeni ni burudani.......kuhitilafiana mara moja moja kupo tu. Mnayasolve mnayamaliza mnatafuta hotel moja tulivu mnaenda mnapasuana weeeeeh kisha mnarejea nyumbani na bashasha kulea wajukuu ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ