Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Wengine hata hawatki kukupa kabisa
Hawataki kushiriki mapenzi unafanyaje
Kama wewe ni mkewe/mpenzi wake jaribu kumtega huyo Mumeo lazima atakuto***mba tu

Kuna vitu sisi Wanaume tukifanyiwa tunapata hamu ya ku-do.

Mfano, kunyolewa pubic hair.

Mwombe mnyoe huyo mpenzi wako.

Wakati Mwanaume ananyolewa, Kuna fursa inapatikana ya kumshika shika na kummasaji abdallah kichwa wazi, hapo hata kama alikuwa na ratiba ya kutoka weekend na marafiki zake, automatic hiyo ratiba ataiua kwaajili yako.
 
Ndio ukiambiwa ndoa ngumu uelewe
Na watu wkisema wanavunja ndoa wewe waelewe
Na ukiona watu wanacheat wewe waelewe vile vile

Mume hataki kushiriki tendo la ndoa kwa mkewe??!!! Hapo Kuna tatizo kubwa
 
Ndio ukiambiwa ndoa ngumu uelewe
Na watu wkisema wanavunja ndoa wewe waelewe
Na ukiona watu wanacheat wewe waelewe vile vile
Jaribu kumtengenezea mazingira awe anakukula.

Hadi umeingia kwenye Ndoa, itakuwa ulipewa mbinu kwenu za namna ya kumfanya Mume apende alichokufanya akuoe
 
Kama wewe ni mkewe/mpenzi wake jaribu kumtega huyo Mumeo lazima atakuto***mba tu

Kuna vitu sisi Wanaume tukifanyiwa tunapata hamu ya ku-do.

Mfano, kunyolewa pubic hair.

Mwombe mnyoe huyo mpenzi wako.

Wakati Mwanaume ananyolewa, Kuna fursa inapatikana ya kumshika shika na kummasaji abdallah kichwa wazi, hapo hata kama alikuwa na ratiba ya kutoka weekend na marafiki zake, automatic hiyo ratiba ataiua kwaajili yako.
Duh mi nina very limited time kuonana na mume wangu. Letsay
Hizo fore play ni 7 biznes day unapata wapi huo mda
Mara nyingi kwa watu wanaofanya kazi na kusafiri
Mnarakiwa mda wote mkikutana lengo ni moja tu kipute
Sasa kama mumeo hataki kabisa

Ndugu yangu unaweza epuka kila kitu hapo juu ulichomention but it take two to tangle
 
Hii ni point
Sasa unaona haipo kabisa namna ya ndoa misukosuko
Jitengeneze upya Mumeo aendelee kuvutiwa na wewe

Kama umepunguza kujipenda, kunukia vizuri basi Fanya hayo upya.

Lakini pia, jaribu kumsisimua mkiwa pamoja chumbani uone kama hatataka tena hata kama itakuwa saa 7 za Usiku
 
Jaribu kumtengenezea mazingira awe anakukula.

Hadi umeingia kwenye Ndoa, itakuwa ulipewa mbinu kwenu za namna ya kumfanya Mume apende alichokufanya akuoe
Naongea general tu sio mimi
As hapa navyoandika ndo natoka kwenye mambo yangu ya maokoto
Sasa ndugu yangu nikifika home naingia kuoga,nakula nakunywa chai nikiingia kitandani tupate kimoja ndo nilale vizuri

Sasa kama unahitaji nikashike hadi pumbu wakati unanyoa
Which day and time my dear
My day off is only jumapili kwa kuforce
 
Jitengeneze upya Mumeo aendelee kuvutiwa na wewe

Kama umepunguza kujipenda, kunukia vizuri basi Fanya hayo upya.

Lakini pia, jaribu kumsisimua mkiwa pamoja chumbani uone kama hatataka tena hata kama itakuwa saa 7 za Usiku
Yaani
Ndugu yangu
Ndoa haina formula
Unaweza hadi msusia yote
Ila ita takes two to……

Yaani mkikutana woote mnaelewana
Haijalishi situation gani
Na wala haitamuhitaji mmoja kuumia sana kumridhisha mwenzake
Yaani inakua natural tu
 
Duh mi nina very limited time kuonana na mume wangu. Letsay
Hizo fore play ni 7 biznes day unapata wapi huo mda
Mara nyingi kwa watu wanaofanya kazi na kusafiri
Mnarakiwa mda wote mkikutana lengo ni moja tu kipute
Sasa kama mumeo hataki kabisa

Ndugu yangu unaweza epuka kila kitu hapo juu ulichomention but it take two to tangle
Nakuelewa Mkuu, hata kama mpo busy Siku saba za wiki, lakini si mnakuwa pamoja usiku baada ya mizunguko ya Mchana kutwa.

Kutokana na uchovu mnaweza kushindwa kufanya round 3 lakini mbili zinawezekana, pamoja na morning glory ya saa 11 Alfajiri.
 
Hahahaha.............eti kushika hadi Pumbu 😅

Tengeni muda hata hiyo hiyo Jumapili mnashinda pamoja kufayiana hayo, sio lazima sana ila inaleta ashki
 
Jitengeneze upya Mumeo aendelee kuvutiwa na wewe

Kama umepunguza kujipenda, kunukia vizuri basi Fanya hayo upya.

Lakini pia, jaribu kumsisimua mkiwa pamoja chumbani uone kama hatataka tena hata kama itakuwa saa 7 za Usiku
Mi napenda sana sex
Ila sasa naoenda mtu muelewa kama mimi
Sipendi kufake fake
Naoenda ile sex natural
Ambayo hamna mmoja wetu ana pretend ili kumridhisha mwenzake
Sijui unanielewa?

Na sex ndo kiungo kikubwa sana cha ndoa
Kucheat kunatokana na mmoja katika sex kuna jambo halipo sawa
Lakini pia kama si enjoy sex i can stay with you kwa sababu nakupenda tu ila deep down inside i wish soo many things
Ila namshukuru Mungu sijwahi kupata sex bora ya muda wote kama ya mume wangu “GOAT”.
 
Yaani
Ndugu yangu
Ndoa haina formula
Unaweza hadi msusia yote
Ila ita takes two to……

Yaani mkikutana woote mnaelewana
Haijalishi situation gani
Na wala haitamuhitaji mmoja kuumia sana kumridhisha mwenzake
Yaani inakua natural tu
Ni kweli Ndoa haina formula, muhimu muoane watu mnaojuana na mliozoeana
 
Nakuelewa Mkuu, hata kama mpo busy Siku saba za wiki, lakini si mnakuwa pamoja usiku baada ya mizunguko ya Mchana kutwa.

Kutokana na uchovu mnaweza kushindwa kufanya round 3 lakini mbili zinawezekana, pamoja na morning glory ya saa 11 Alfajiri.
Unafanya sex 3 times in less than 18hrs
Utaweza fanya kazi kweli
Mkuu umenichekesha sana
Mi natakiwa 12 niwe macho na saa tano ndo nalala
Kimoja tu kinatosha na make sure nimefika vizuri
 
Mi napenda sana sex
Ila sasa naoenda mtu muelewa kama mimi
Sipendi kufake fake
Naoenda ile sex natural
Ambayo hamna mmoja wetu ana pretend ili kumridhisha mwenzake
Sijui unanielewa?

Na sex ndo kiungo kikubwa sana cha ndoa
Kucheat kunatokana na mmoja katika sex kuna jambo halipo sawa
Lakini pia kama si enjoy sex i can stay with you kwa sababu nakupenda tu ila deep down inside i wish soo many things
Ila namshukuru Mungu sijwahi kupata sex bora ya muda wote kama ya mume wangu “GOAT”.
Nimependa ulivyo muwazi

Sisi waswahili tuna msemo wetu kwamba hakuna chakula kitamu kuzidi cha nyumbani kwako.
 
Unafanya sex 3 times in less than 18hrs
Utaweza fanya kazi kweli
Mkuu umenichekesha sana
Mi natakiwa 12 niwe macho na saa tano ndo nalala
Kimoja tu kinatosha na make sure nimefika vizuri
Hahaha..............kimoja cha afya plus morning glory ya saa 11 alfajiri inatosha, unaanza Siku yako ukiwa mwepesi kuanzia mwili hadi akili
 
Duh mi nina very limited time kuonana na mume wangu. Letsay
Hizo fore play ni 7 biznes day unapata wapi huo mda
Mara nyingi kwa watu wanaofanya kazi na kusafiri
Mnarakiwa mda wote mkikutana lengo ni moja tu kipute
Sasa kama mumeo hataki kabisa

Ndugu yangu unaweza epuka kila kitu hapo juu ulichomention but it take two to tangle
Mngh!!
 
Back
Top Bottom