ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Jikite kwenye hojaHao Wakandarasi waliokaa na Bashe ndio waliomnunulia Mama Chopa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hojaHao Wakandarasi waliokaa na Bashe ndio waliomnunulia Mama Chopa?
Kilimo sio mazao hayo pekee,in fact Serikali imeweka Nguvu kwenye mazao ya chakula ambayo pia yamekuwa ya biashara.Sokoni mkulima kafa
- Pamba 1kg tzs 1,300
- Tumbaku grades 64
Huo mradi wengi waliongea hata walioko wizarani lakini aliamua uendelee. Sasa hivi vyuo vya elimu vya kati vya kilimo (MATI) wana mpango viache kudahili wanafunzi wa stashahada, badala yake viwe vinapokea na kutoa mafunzo kwa wakulima na maafisa ugani, ngoja tuone tija yake.Tena kama huyu waziri wa awamu ndio kapiga sana pesa halafu wanaleta blah blah nyingi ukipita kwenye nchi nyingine wanavyoendesha kilimo unapata hasira kila ukiona mambo yanavyoendeshwa na hakuna usimamizi wala nia thabiti sababu huo mradi wake wa magumashi hakuna mkulima wa kweli hata mmoja wote walikuwa wa maigizo na kuchukua posho watuonyeshe hata mmoja tu aliyefanikiwa!
Mkuu hakuna kitu hapo habari ndio imeisha 2026 agenda nyengine mpya hii imefungwa na vishikwambi kwa kila mmoja!Huo mradi wengi waliongea hata walioko wizarani lakini aliamua uendelee. Sasa hivi vyuo vya elimu vya kati vya kilimo (MATI) wana mpango viache kudahili wanafunzi wa astashahada, badala yake viwe vinapokea na kutoa mafunzo kwa wakulima na maafisa ugani, ngoja tuone tija yake.
Kwani wewe wa mjini ulisema hakuna kitu ndio wakulima hawaoni 😁😁👇👇Hakuna kitu
Kwani wewe wa mjini ulisema hakuna kitu ndio wakulima hawaoni 😁😁👇👇
View: https://youtu.be/VvjcRH-BvSQ?si=k9-gwH7kW1ZWzBG9
Chawa ndio nini?Sawa chawa
Mtu yoyote nayependa kusifia upumbavu .Chawa ndio nini?
Upumbavu unaosifiwa ni kama upi huo?Mtu yoyote nayependa kusifia upumbavu .
Kuna tofauti yakuongeza bajeti nakufanya mapinduzi majority ya wakulima wako vile vile for the past three years labda utuambie mkulima amepata nafuu wapi na kwa namna gani shida zao zipo pale pale labda hiyo hela mnaibunya huko kwenye BBT zenu ila wakulima vilio tu na madeni kibao benkiKwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa uhifadhi wa chakula NFRA na bodi na nafaka na mazao mchanganyiko (CPB) kiasi cha Tsh. bilioni 116.
Ametoa ruzuku ya mbolea ya tani 204,818.16 kwa mikoa yote ya Tanzania yenye thamani ya Tsh. bilioni 67.82.
Serikali yake imetenga jumla ya eneo lenye ukubwa wa ekari 201,241 kwa ajili kuwaingiza vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia mradi wa BBT
Serikali yake imeendelea kuwekeza katika Skimu za Umwagiliaji kwa kuongeza eneo kutoka hekta 727,000 hadi hekta 822,000.
Hao wakulima unaowasema wewe wanatakiwa kuhama kutoka Kilimo Cha Kujikimu na kutegemea mvua na kuhamia Kilimo Cha Umwagiliaji,jambo ambalo ndio Serikali inafanya Sasa.Kuna tofauti yakuongeza bajeti nakufanya mapinduzi majority ya wakulima wako vile vile for the past three years labda utuambie mkulima amepata nafuu wapi na kwa namna gani shida zao zipo pale pale labda hiyo hela mnaibunya huko kwenye BBT zenu ila wakulima vilio tu na madeni kibao benki
Mapinduzi ndio haya yakuamua bei ya mahindi jukwaani?Hivi mnafika kweli huko ground kwa hawa wakulima? Nchi ambayo mazao yakipatikana tu kwa wingi inakua kama laana kwa mkulima mana watapata bei hafifu kabisa, oya Kilimo ndio uti wa Mgongo wa Taifa ndio mana Mwalimu Nyerere alikiweka kwe ye mitaala kutokea primary hakua mjinga, mechanisation bado watu wanatumia jembe la mkono tembelea wakulima zunguka hii nchi sio mnakaa kwenye warsa na report mkadhani ndio kilimo nenda kaone wakulima wenyewe field ndio utaona namna gani hela zinaliwa kwa kuoanga na semina sio kufika ground kuboresha miundombinu, pitia bajeji iliyopita hela iliyotengwa kaa ajili yabumwagiliaji chuuulia scheme zilizopo Mbarali tu huko Mbeya angalia utekelezaji ukoje? Tatizo letu tunafurahia hukisikia namba pale ziiisomwa hakuna anaefuatilia utekelezaji ndio mana usishangae unakuta miradi inatekelezqa chini ya kiwango na usikilizie maajabuHao wakulima unaowasema wewe wanatakiwa kuhama kutoka Kilimo Cha Kujikimu na kutegemea mvua na kuhamia Kilimo Cha Umwagiliaji,jambo ambalo ndio Serikali inafanya Sasa.
Ni ajabu kudhani hayo mapinduzi yatafanyika ndani ya miaka 2
Sekta ya Umwagiliaji huioni? Kuna sekta ya Ufugaji wa Samaki wa vizimba nayo huoni? 👇👇Mapinduzi ndio haya yakuamua bei ya mahindi jukwaani?Hivi mnafika kweli huko ground kwa hawa wakulima? Nchi ambayo mazao yakipatikana tu kwa wingi inakua kama laana kwa mkulima mana watapata bei hafifu kabisa, oya Kilimo ndio uti wa Mgongo wa Taifa ndio mana Mwalimu Nyerere alikiweka kwe ye mitaala kutokea primary hakua mjinga, mechanisation bado watu wanatumia jembe la mkono tembelea wakulima zunguka hii nchi sio mnakaa kwenye warsa na report mkadhani ndio kilimo nenda kaone wakulima wenyewe field ndio utaona namna gani hela zinaliwa kwa kuoanga na semina sio kufika ground kuboresha miundombinu, pitia bajeji iliyopita hela iliyotengwa kaa ajili yabumwagiliaji chuuulia scheme zilizopo Mbarali tu huko Mbeya angalia utekelezaji ukoje? Tatizo letu tunafurahia hukisikia namba pale ziiisomwa hakuna anaefuatilia utekelezaji ndio mana usishangae unakuta miradi inatekelezqa chini ya kiwango na usikilizie maajabu
Sekta ya Umwagiliaji huioni? Kuna sekta ya Ufugaji wa Samaki wa vizimba nayo huoni? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C9sK5MRtB1g/?igsh=dXc5c2Fqem14bWEx
View: https://www.instagram.com/reel/C9sRgEiPyIG/?igsh=MXJhaGw0czhhYmhxMA==
Turudishe viwanda vya mbolea kana kile Cha tanga.Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa uhifadhi wa chakula NFRA na bodi na nafaka na mazao mchanganyiko (CPB) kiasi cha Tsh. bilioni 116.
Ametoa ruzuku ya mbolea ya tani 204,818.16 kwa mikoa yote ya Tanzania yenye thamani ya Tsh. bilioni 67.82.
Serikali yake imetenga jumla ya eneo lenye ukubwa wa ekari 201,241 kwa ajili kuwaingiza vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia mradi wa BBT
Serikali yake imeendelea kuwekeza katika Skimu za Umwagiliaji kwa kuongeza eneo kutoka hekta 727,000 hadi hekta 822,000.