Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa sababu ya hofu ya uropokaji wake usiozingatia 'muktadha'.
Tundu Lissu huko aliko, "dah! Kumbe kina Mbowe na Slaa ndivyo walivyokuwa wananifanya?!!!! Siamini"!
2. Kauli ya Mbowe aliyoitoa juzi kwa waandishi wa habari kuwa kwa Sasa chadema ni imara kuliko jana au juzi. Hilo limemstua sana Tundu Lissu, huko aliko anajiuliza;
"Imekuaje mwamba amestukia mbinu zangu nini?!!"
AnaWatupia jicho 'kumberu' maswahiba wake chamani anaopanga nao mambo mbalimbali na kujiuliza kimya kimya, "au hawa jamaa ni masnitch nini wanaenda kuyamwaga kwa mwamba tukishaongea?!!"
Kwakweli wiki hii TL sijui kama amewhi kupata usingizi.......