Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

Umesahau kundi la waendesha magari wa JF,wao wanajua Kila aina ya gari ila hawamiliki hata baiskeli na ninamfahamu mmoja humu ila anavyojikweza Sasa 😁😁
 
Everything is dynamic men
 
Tangu nimekuwa na umri huu 45+yrs nimeyafahamu majina mengi ya robert akiwemo ROBERT NESTA MARLEY! hawa jamaa wamejaliwa kuwa critical thinkers! ila wanaongozwa zaidi na bange! fikra zao nyingi zimejaa moshi wa bange lkn some how unapata logic na knowledge kiasi! sasa we wajina wa bob marley ulivuta cha wapi ukaja na huu uzi? ki ukweli sijawah muona roba au sele ambaye havuti bange
 

Ahaaa!
Hii ni Omission or Contradiction

Kimsingi situmii Madawa yoyote ya kusisimua, vilevi na Madawa ya kulevya. Na sijawahi kutumia hata kwa kuonja wala kugusa.
 
Hayo yote uliyoyaandika na mengine ambayo hujayaandika yapo kwenye jamii, na bahati nzuri hii ni Jamii Forum, na lengo hasa la Jamii Forum ni kuileta jamii pamoja kujadiliana mambo ya kijamii.
 
Hapo kwenye (e) kuna jina natamani kulitaja Ila hiyo mvua ya matusi haitokua ya siku, Bali ni wiki nzuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…