Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza wananchi.
2. Imeonekana wazi kabisa kama haramu hii itaendelea tujiandae watanzania kuwa na kizazi ambacho utasomesha kwa mapesa mengi lakini bila connection serikalini watoto wako watakaa nyumbani miaka yote ingawa watakuwa na elimu zao ,msione wanasema watu waende veta baada ya kumaliza vyuo vikuu hayo ndiyo wanayatengeneza kwa kizazi chetu
3. Mfano naweza toa kwa mwana ccm mwenzangu ambaye huenda ana ajira serikalini kwa kipindi hiki ajiulize maswali je kama yeye atastaafu je watoto wake atawaacha katika hali gani na vitukuu ikiwa mifumo hii inaweza kuendelea kudhulumu haki za msingi kama hizi za mifumo ya uchaguzi ! Yeye anaona yupo salaama je kizazi anachokiandaa anafikiri kitakuwa na madaraka kama yeye huko mbeleni bila connection serikalini.
Nimetoa mifano hiyo kwa sababu mifumo hiyo aliyosema polepole inaweka viongozi inaowataka ambao kimsingi kama siyo wazalendo nchi hii itageuzwa ya mjomba ,shangazi baba mdogo, rafiki, hawala hao ndio watakao amua nani apate ajira kila kwenye taasisi mhimu ndani ya nchi
Wewe mwenzangu kwa sasa unapambana kusomeaha kwa gharama kubwa watoto wako wote utaona baada ya hapo wote wanakaa nyumbani bila kupata ajira na kila siku serikali itakuwa ni wimbo wa kujiajiri huku wengine wakila mema ya nchi, vijana amkeni acheni kutumika na kushambulia watu wanaotetea haki na usawa.