Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Mwenye akili fupi ni wewe mhuni ambaye unasema tasisi ya TRA ambayo haipo kwenye bandiko langu. Hovyo kabisa.Una akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.
Mama wala hategemei kura ya mtanzania yeyote. Yeye hutegemea mifumo ya wizi wa Kutengeza matokeo. Nenda kalale na kura yako, haina mzaada wowote kwake.Kura nampigia Mama
Aya tuambie unataka kazi serikalini ipi? Wakati wizara zote mmejaa wagalatia.Mwenye akili fupi ni wewe mhuni ambaye unasema tasisi ya TRA ambayo haipo kwenye bandiko langu. Hovyo kabisa.
Mbona viongozi wanaingiza watoto na ndugu zao, kwanini wasiende kujiajiri? Nyie majizi ya kura vipi?Una akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.
Una akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.
Jitafakali.Una akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.
Kumbe upo kwenye UDINI...!!!Aya tuambie unataka kazi serikalini ipi? Wakati wizara zote mmejaa wagalatia.
Elimu inayotolewa inatosha watu kujiajili? Muombe msamaha mjumbe hoja yake ni nzito labda hujamwelewaDaah
Inaonekana wazi umesoma ila elimu bado haijakukomboa kifikra
Hivi kweli Unazungumzia kusomesha mtoto shule alafu utegemezi pekee wa ajira uwe ni Serikalini..!??
Hivi unajua utajiri wa rasilimali tulionao Watanzania ktk nchi yetu kuanzia watu, ardhi, mazao, vivutio vya utalii, mabwawa, maziwa, bahari, madini, usafirishaji nk nk
Na kila rasilimali hapo inatengeneza ajira na utajiri wa kutosha tu,, na kuna matajiri ktk kila sekta hapo
Sasa kwanini akili zako uwaze kusomesha mtoto kisha aajiriwe Serikalini tu
Mkuu hiyo mifano michache hakuna aliyesema kusomesha na kutegemea ajira serikalini nilichisema hata ajira hizi tunazoziona zitapatikana kwa connection yawezekana siyo mimi au wewe na pia kuwepo kwa rasilimali hizo zote unafahamu nani atakupangia bei kama upo kwenye kilimo? Unafahamu utalipa kodi kiasi gani kwa ajiri ya uzalishaji unaoufanya ? Wewe mwerevu hongera lakini hatuwezi kuwa na mawazo sawa hata maarifa. Kila mtu amezaliwa na akili yake elimu zimetufanga tutofautiane.Daah
Inaonekana wazi umesoma ila elimu bado haijakukomboa kifikra
Hivi kweli Unazungumzia kusomesha mtoto shule alafu utegemezi pekee wa ajira uwe ni Serikalini..!??
Hivi unajua utajiri wa rasilimali tulionao Watanzania ktk nchi yetu kuanzia watu, ardhi, mazao, vivutio vya utalii, mabwawa, maziwa, bahari, madini, usafirishaji nk nk
Na kila rasilimali hapo inatengeneza ajira na utajiri wa kutosha tu,, na kuna matajiri ktk kila sekta hapo
Sasa kwanini akili zako uwaze kusomesha mtoto kisha aajiriwe Serikalini tu
Nadhan mada hapa n uwepo wa matabaka kwenye taifa bila kujari sifa na uchapakazi wa mtu✍️Daah
Inaonekana wazi umesoma ila elimu bado haijakukomboa kifikra
Hivi kweli Unazungumzia kusomesha mtoto shule alafu utegemezi pekee wa ajira uwe ni Serikalini..!??
Hivi unajua utajiri wa rasilimali tulionao Watanzania ktk nchi yetu kuanzia watu, ardhi, mazao, vivutio vya utalii, mabwawa, maziwa, bahari, madini, usafirishaji nk nk
Na kila rasilimali hapo inatengeneza ajira na utajiri wa kutosha tu,, na kuna matajiri ktk kila sekta hapo
Sasa kwanini akili zako uwaze kusomesha mtoto kisha aajiriwe Serikalini tu
Kwani kazi za serikali ni kwa ajili ya akina nani shekhe?Una akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.
Hana akili fupi punguza makasiriko.. Pole pole kapiga kwenye mshonoUna akili fupi sana kwa hiyo unasomesha mtoto wako ili aje kupata kazi TRA. Akili za Watanzania zimelala sana kila Mtanzania anataka mtoto wake apate kazi serikalini.