ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwani nilimquote nani mkuu?Hata nyie vp mkuu? Mimi mwanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nilimquote nani mkuu?Hata nyie vp mkuu? Mimi mwanaume
Kweli kabisa brother, nakubaliana na wew hususani hapo kwenye hofu ya mungu na mali. Huo ndo uhalisia watu wengi hapa wanakataa basi tu walete ubishani ila huo ndo ukweliVijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni;
1. HOFU YA MUNGU (DINI)
Hiki ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia, kwani mume au mke mwenye hofu ya mungu kuna asilimia nyingi atakua mkweli na kukupenda kwa dhati kama mafundisho yanavyotaka
2.CHIMBUKO AU ASILI YAO
Unatakiwa kuchunguza historia au asili ya yule unaetaka kuoa au kuolewa nae.
NB: HAPA TUNAANGALIA ASILI NASIO KABILA
3. TABIA NA UZURI WAKE
Ili usije juta kutamani wanawake au wanaume wengine baada ya ndoa inapaswa uoe au kuolewa na mtu mwenye Tabia na uzuri unaoutaka. Hapa msisitizo ni TABIA maana Uzuri na muonekano hubadilika mda na mda.
4. MALI
Mwisho kabisa tutaangalia mali, duniani hamna anayetaka kuishi maisha magumu yeye wala familia yake, sasa kama akitokea mtu mwenye sifa kuu tatu za juu na ana mali (Mwanamme/Mwanamme) Basi huyo ndo mtu sahihi kwako.
Haya ni mambo ya kuzingatia kabla ya kuoa, mimi sijazungumzia ndoaNdoa haina formula mkuu Acha uongo
Kwa huo mfano ulioutoa bado hujanielewa nachomaanisha Mkuu. Ukioa/kuolewa kwa vigezo lazima mzingue tu.Vigezo lazima, wewe ukiambiwa uoe chizi utakubali? Kama hapaba Basi umetumia kigezo cha kuchagua mwenye Akili timamu
Lakini ukifata kanuni hizi risk inapunguaHakuna formula, unaweza fata hizo kanuni na ukaangukia pua
Labda sijaelewa mimi, unazingua vp yani?Kwa huo mfano ulioutoa bado hujanielewa nachomaanisha Mkuu. Ukioa/kuolewa kwa vigezo lazima mzingue tu.
Mwanaume hawezi kuwa na hizo tabia hao unaozungumzia ni wavulana masharobaro wazee waganda la ndizi wanaotumia muda mwingi kujiandaa, wanatumia mafuta ya kike, wanakesha gym wawe na six pack ili wawavutie wakinadadaMwanaume awe na uwezo kuzidi mwanamke hiyo ndoa itadumu, ila kama mwanaume penda dezo unataka kuoa kwa fulani kisa pesa ipo, hiyo pesa sio yako, mwanaume tafuta pesa yakoooooo ndo heshima yako.
Kwahiyo wenye hofu ya mungu wavulana, wenye tabia njema wavulana, waliotoka kwenye familia zenye maadili mema masharobalo?Mwanaume hawezi kuwa na hizo tabia hao unaozungumzia ni wavulana masharobaro wazee waganda la ndizi wanaotumia muda mwingi kujiandaa, wanatumia mafuta ya kike, wanakesha gym wawe na six pack ili wawavutie wakinadada
Nawakumbusha hofu ya Mungu si kwenda kanisani pekee.Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni;
1. HOFU YA MUNGU (DINI)
Hiki ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia, kwani mume au mke mwenye hofu ya mungu kuna asilimia nyingi atakua mkweli na kukupenda kwa dhati kama mafundisho yanavyotaka
2.CHIMBUKO AU ASILI YAO
Unatakiwa kuchunguza historia au asili ya yule unaetaka kuoa au kuolewa nae.
NB: HAPA TUNAANGALIA ASILI NASIO KABILA
3. TABIA NA UZURI WAKE
Ili usije juta kutamani wanawake au wanaume wengine baada ya ndoa inapaswa uoe au kuolewa na mtu mwenye Tabia na uzuri unaoutaka. Hapa msisitizo ni TABIA maana Uzuri na muonekano hubadilika mda na mda.
4. MALI
Mwisho kabisa tutaangalia mali, duniani hamna anayetaka kuishi maisha magumu yeye wala familia yake, sasa kama akitokea mtu mwenye sifa kuu tatu za juu na ana mali (Mwanamme/Mwanamme) Basi huyo ndo mtu sahihi kwako.
Naam, uzi wameuonqWenye masikio watakuwa wamekusikia
Oa au olewa na Mtu mwenye common sense na mwenye emotional intelligence maana ndoa ni akili na hisia! Akili itatumika kuishi na mke na hisia itatumika kuishi na Mume....Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni;
1. HOFU YA MUNGU (DINI)
Hiki ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia, kwani mume au mke mwenye hofu ya mungu kuna asilimia nyingi atakua mkweli na kukupenda kwa dhati kama mafundisho yanavyotaka
2.CHIMBUKO AU ASILI YAO
Unatakiwa kuchunguza historia au asili ya yule unaetaka kuoa au kuolewa nae.
NB: HAPA TUNAANGALIA ASILI NASIO KABILA
3. TABIA NA UZURI WAKE
Ili usije juta kutamani wanawake au wanaume wengine baada ya ndoa inapaswa uoe au kuolewa na mtu mwenye Tabia na uzuri unaoutaka. Hapa msisitizo ni TABIA maana Uzuri na muonekano hubadilika mda na mda.
4. MALI
Mwisho kabisa tutaangalia mali, duniani hamna anayetaka kuishi maisha magumu yeye wala familia yake, sasa kama akitokea mtu mwenye sifa kuu tatu za juu na ana mali (Mwanamme/Mwanamme) Basi huyo ndo mtu sahihi kwako.
5: OA MWANAMKE AU OLEWA NA MWANAUME YULE ALIYEKARIBU SANA NA BABA YAKE NA WALA SIYO MAMA YAKE ILA HANA CHUKI NA MAMAVijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni;
1. HOFU YA MUNGU (DINI)
Hiki ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia, kwani mume au mke mwenye hofu ya mungu kuna asilimia nyingi atakua mkweli na kukupenda kwa dhati kama mafundisho yanavyotaka
2.CHIMBUKO AU ASILI YAO
Unatakiwa kuchunguza historia au asili ya yule unaetaka kuoa au kuolewa nae.
NB: HAPA TUNAANGALIA ASILI NASIO KABILA
3. TABIA NA UZURI WAKE
Ili usije juta kutamani wanawake au wanaume wengine baada ya ndoa inapaswa uoe au kuolewa na mtu mwenye Tabia na uzuri unaoutaka. Hapa msisitizo ni TABIA maana Uzuri na muonekano hubadilika mda na mda.
4. MALI
Mwisho kabisa tutaangalia mali, duniani hamna anayetaka kuishi maisha magumu yeye wala familia yake, sasa kama akitokea mtu mwenye sifa kuu tatu za juu na ana mali (Mwanamme/Mwanamme) Basi huyo ndo mtu sahihi kwako.
hii imekaa kiufundi zaid5: OA MWANAMKE AU OLEWA NA MWANAUME YULE ALIYEKARIBU SANA NA BABA YAKE NA WALA SIYO MAMA YAKE ILA HANA CHUKI NA MAMA