Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

Kweli kabisa brother, nakubaliana na wew hususani hapo kwenye hofu ya mungu na mali. Huo ndo uhalisia watu wengi hapa wanakataa basi tu walete ubishani ila huo ndo ukweli
 
Vigezo lazima, wewe ukiambiwa uoe chizi utakubali? Kama hapaba Basi umetumia kigezo cha kuchagua mwenye Akili timamu
Kwa huo mfano ulioutoa bado hujanielewa nachomaanisha Mkuu. Ukioa/kuolewa kwa vigezo lazima mzingue tu.
 
Mwanaume awe na uwezo kuzidi mwanamke hiyo ndoa itadumu, ila kama mwanaume penda dezo unataka kuoa kwa fulani kisa pesa ipo, hiyo pesa sio yako, mwanaume tafuta pesa yakoooooo ndo heshima yako.
Mwanaume hawezi kuwa na hizo tabia hao unaozungumzia ni wavulana masharobaro wazee waganda la ndizi wanaotumia muda mwingi kujiandaa, wanatumia mafuta ya kike, wanakesha gym wawe na six pack ili wawavutie wakinadada
 
Mwanaume hawezi kuwa na hizo tabia hao unaozungumzia ni wavulana masharobaro wazee waganda la ndizi wanaotumia muda mwingi kujiandaa, wanatumia mafuta ya kike, wanakesha gym wawe na six pack ili wawavutie wakinadada
Kwahiyo wenye hofu ya mungu wavulana, wenye tabia njema wavulana, waliotoka kwenye familia zenye maadili mema masharobalo?
 
Nawakumbusha hofu ya Mungu si kwenda kanisani pekee.
Inajumuisha maisha halisi ya mtu, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii, mavazi na mahusiano yake na watu .
 
Oa au olewa na Mtu mwenye common sense na mwenye emotional intelligence maana ndoa ni akili na hisia! Akili itatumika kuishi na mke na hisia itatumika kuishi na Mume....
 
5: OA MWANAMKE AU OLEWA NA MWANAUME YULE ALIYEKARIBU SANA NA BABA YAKE NA WALA SIYO MAMA YAKE ILA HANA CHUKI NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…