Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Labda kwa sababu huna akili
 
Kama hawezi haya majukumu yake ajiuzuru hakuna sbb ya kugombea 2025
 
Lakini mi ugomvi wangu ni pale vyanzo vyote vya mapato ccm wamejiuzia alafu wanaenda kukopa, wakishindwa wanarudi kuwawekea kodi wananchi

unauza bandari alafu unaenda kukopa Kweli??

Itabidi ya gen z. yatokee hapo kwetu ili Hawa watawala wanyoooke
 
Madam must be told that Machinga can not kept to that so called “so jipya” what happened to machinga complex?

We can’t blame TRA for the law we created through parliament….TRA just implement the law made by our MP’s !

We should stop politics in Tax matter. Nothing will change next year they will do the strike again……we should change law not do the talking
 
Huyu deiwaka hatoshi, tungekuwa na Gen Z inayojielewa vzr angefurushwa ofisini aende nyumbani akampikie mmewe chakula tuu!.
Ishirini ishirini na tano siyo mbali. Hapo ndipo tutakapodhibitisha yaliyoandikwa kwenye Vitabu Vitakatifu kuwa "Mwanaume ni Kichwa cha nyumba".
 
Yaliyokufurahisha ni yepi?
 
Hatuna raisi hapo watanganyika wenzangu
1)Una bandari na reli
2)unayo madini
3) aridhi yenye rutubs
4) maliasili

Alafu unakuja mbele ya wanaume kulialia eti unafhalilishwa ukienda kukopa

Alafu tukuonee huruma

Mi nadhani ukishindwa kuwapatia chakula watz jiuzulu tu. waje wengine watakaoweza
 
Yule mama yetu kwa sasa ni kama kachanganyikiwa kimtindo, halafu kwa sasa anaongoza kwa hofu na wasiwasi mnoo huku akikosa kujiamini na kutaka kujionyesha kuwa anaweza kumpendeza kila mtu ikiwemo wale anao watumbua.
 
Ujinga mkubwa sana,kujibu pumba kama hizi
 
Umenikumbusha enzi za JF og, ...Nondo za moto!👍

Huyu raisi nizaidi ya dhaifu, atashangiliwa tu na chawa wake ila kiuhalisia tulipgwa.
Ukiona kiongozi wa nchi anasema wazi anaziba masikio asisikie hoja za anaowaongoza, huyo hajui wajibu wake na ni hatari sana kwa taifa.
 
Kama ulimsikiliza alisema jana kwamba kidata mpaka baadhi ya watumishi wa ikulu na viongozi wa serikali walikuwa hawampendi itafakari vizuri hyo kauli.
Baadhi ya watumishi wa Ikulu au siyo ..... Nadhani na Rais ni mtumishi wa Ikulu lakini yeye hayumo kwenye hilo kundi la baadhi ya watumishi wa Ikulu. Au unataka kusema na yeye yumo. Nakusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…