Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Tatizo watanzania wote ni wezi na janjajanja Hata umuweke nani akifika pale anageuka na kuwa fisi, au atakutana na mafisi og wamfungue akili, na aki resist sana anakuwa adui wa kila mtu. Kwa kifupi uzalendo wetu ni hasi(-) kabisa na si ziro.

Kama kuna wezi vyombo vya Uchunguzi vina kazi gani? Sema nao wako kazini katika ulaji Hata kama ukiwapa kazi wataishia ku neutralize tu kesi.

Kwa mtazamo wangu hii nchi baada ya miaka 15 itakuwa inamilikiwa na familia chache ambazo zinakwapua Mali za Taifa.
 
Kariakoo pagumu sana na ndo maana Machinga wataondolewa ili kodi idakwe vizuri

Wachina ni maadui wengine
 
Wewe ni mtanzania?
 
Nitatolea maelezo la Kidata: Sehemu yeyote ambapo Boss hapewi ushirikiano na Watumishi wenzake ,lazima ufanisi utakuwa chini bila kujalisha Yuko strict au laa maana watafanya kukuharibia so Rais Yuko sahihi.

Kwa sababu utachukuliwa una mahusiano mabaya na Wafanyakazi wenzako,Mawaziri, wafanyabiashara Sasa hapo hakuna wa kukutetea.Kukbuoa hata nyie Machadema mkifanya sherehe Jiwe alipokufa.

Kuhusu la wizi TRA,kwani nani hajui kwmaba TRA Huwa wanadokoa? Kw ai ni mara ya kwanza jambo hili kuzungumzwa na Rais? Mambo Marais wote waliopira wamewahi lizu gumza? Wewe hapo hujui kwmaba TRA wanachukua Rushwa Kwa wafanyabiashara aidha wamalizane au makadirio ya chini nk..TRA hawana tofauti na Traffick police na madereva.

Mengine uliyoongea hayana msingi,Rais Yuko sawa.Mfano la Kijaji sio tuu unauliza halina maana ila majibu yake ni simple tuu.Wakati Kijaji anakuwa Waziri wa Biashara mambo ya siasa za migomo hapo Kariakoo hazikuwepo so kuna shida gani Rais kumtoa wakati ameshindwa mikiki mikiki ya Kariakoo?
 
Moja ya kosa kubwa watawala wetu wanalifanya isipokuwa kikwete hakufanya sana haya ni kuchagua askari type kwenda kuongiza taasisi.

Kidata alikuwa na attitude ya uaskari katokea kitengo wao wanaendeshwa na amri tuu hakuna strategic business thinkingna kila alilokuwa akilifanya alikuwa anatumia nguvu hivyo wadau wengi hawakumkubali.

Issue ya kariakoo inatawaliwa zaidi na maboss wa yanga na other cartels wanaopambania consolidation ya kuleta mizigo kwa gharama ndogo kwa mfanyabiashara na huku tra inataka kodi kubwa toka kwa mtu aliyeletewa mzigo kwa gharama ndogo za njia ya mkato
 
mambo bado! uongozi mkubwa wa nchi unahitaji hekima sana,shida aliingia kwa pupa bado hakuwa anastahili kuwa pale,pale ni pazito.
na manyanyaso zaidi yataongezeka maana anawaamini watu wa nje kuliko watu wake wa ndani ndio maana kila siku ndegeni,hii sio solution ni tatizo analitafuta.. she have to empower her own people. viongozi wengi wa Africa wanakosea kwenye hili serikali hazina dira za kuinua kiuchumi watu wao.
 
Sasa hapo unatetea Nini dogo?

Wazandelendo tunasikitishwa na hotuba ya mama ambaye amekosa mwelekeo, imepelekea tunaathirika na na huu utawala

We vipi? Ni mtanzania mwenzetu??
 
👏👏👏👏👏
 
Actually Mimi nimependa alivyoweka vitu wazi

Ukopaji ni sign ya deficiencies ndio maana Manyanyaso lazima yawepo…. Tunakopa because it is inevitable,

Mengine yote ni very relevant na anajua chanzo

Kidata kapndolewa most likely itakua ji ile Barua ya zile balozi kubwa kuandika waraka kwa waziri wamambo ya nje

Tulichoona jana ni kwamba rais ameweka bayana kwamba wengi wetu sio wasafi na ni selfish hivyo walionyooka Kama kidata wataendelea kupata tabu

Nini solution: tuanze na maadili upya na tuanze na genZ na watoto wapya ili kuleta taifa salama
 
Hakuna hoja ya maana umejibu kumtetea huyo dhaifu!
 
Na kwa maana hii hii, anajibainisha yeye mwenyewe kwamba mikiki ya uongozi wa nchi imemshinda kwa sababu ya jinsia yake!
 
EEEEeeeenHEEEEeeeee!
Sijui huyo Kamishna mpya hapo TRA anakwenda kufanya kazi gani sasa.
Kwanza anasimamia wafanya kazi wezi
Pili, atakapojaribu kuwabana wasiibe, watam'data', kama walivyomfanya huyo Kidata. Watasherehekea na huyu mpya atakapo ondolewa kama atabania!
 
nimesikitika sana na kuumia mno kwa kutokujua kwako kuwa kama taifa / nchi tumepata hasara kuwa nae kama rais
Hakuna alichokifanya JPM ambacho hatakimalizia Rais Samia katika muda huu kuelekea 2025.

Samia hana makeke ya maongezi ya jukwaani, jana nimekatiza pale BP karibu na bandarini ni kama Ulaya yaani.

Pale mida ya jioni ulikuwa ukifika saa kumi na moja na gari kwa upande wa kule kurasini inabidi usubiri saa nzima mpaka magari yanayotoka mjini yapunguzwe na trafiki, leo hii ni mwendo wa dakika moja tu umeshakatiza mahali pale!.

Samia apewe heshima yake anafanya yale yale ambayo angeyafanya hayati JPM angekuwa hai mpaka muda huu.
 
Acha uongo Magufuli hajawahi kushindwa na mfanyakazi wake yoyote katika nchi hii

Aliondoa mfumo wa bank account akaweka control namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…