Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Kumbe Kuna watu ambao wananguvu kuliko Rais.
 
Tatizo letu Kwa sasa Tanzania ni Rais ni mkweli sana na anapenda kufanya good governance, wakati watanzania hawajazoea kusikia ukweli, wala hawajazoea kuwa good citizens...Tumepewa right president at a wrong time and to the wrong people
Ok, ila kwangu naona tuna wrong president at the right time. Rais anayeita Katiba kijitabu haiwezi kuwa mzuri kwenye good governance.
 
Nadhani Kuna wamiliki wa maduka wanatomea serikalini hasa TRA.
 
..Samia amedai Dr.Kijaji ameshindwa majukumu yake ya Uwaziri wa biashara kwasababu ni mwanamke.

..pia amesema moja ya sifa iliyomfanya amteue Dr.Jafo Waziri wa biashara ni kuwa na " mdomo mwingi. "
 
Kweli kabisa hii nafasi itangazwe na watu wenye uzoefu na mambo ya Kodi wasiingiliwe na Rais. Iwe Kama CAG.
 
Maswali hayo unauliza huku nani akujibu? Chadema mna tatizo kweli kweli
CHADEMA imeingiane hapa mkuu?. Nadhani wewe ndio mwenye matatizo, maana unawaza vyama 24/7
 
Huyu deiwaka hatoshi, tungekuwa na Gen Z inayojielewa vzr angefurushwa ofisini aende nyumbani akampikie mmewe chakula tuu!.
Kwa matendo ya bungeni na kauli za Rais, inatakiwa Gen Z wetu waamke na kumbana Kama Ruto mpaka kukubali kuacha kununua magari ya anasa na ofisi zisizo za kikatiba.
 
..pia Samia alisema amemteua Kamishna mpya wa Tra kwasababu anajua vichochoro vya wizi ktk Tra, na huenda hata yeye Kamishna mpya aliwahi kushiriki wizi alipokuwa mtumishi wa Tra huko nyuma.
 
Swali la mwisho jibu lake lilikwisha toka, nendeni mkale kwa urefu wa kamba zenu.
 
Anaishia kufunga wanaichoma picha yake huku mapapa wanajilia tu wanavyotaka....ndiyo unamaanisha hivyo?
Nashangaa sana. Serikali ipo makini kwenye mambo madogo lakini kwenye ufisadi wa report ya CAG kimya.
 
Lakini si mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alisema serikali haushindwi kitu! Kwa hiyo serikali imeshindwa mapapa! Huo ni utani brother!
Yule mkuu wa Mkoa ni Komedian ingawa aliongea ukweli kwamba serikali haishindwi kitu. Cha kuniuliza kwanini Rais awajue wezi halafu awaache?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…