Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Honestly speaking she is out of her depth. Nitashangaa sana kama atakuwa mgombea wa CCM 2025.

Hana vision, hana strategic thinking kwenye mambo ya msingi.

Sehemu pekee anapofabya vizuri ni siasa za kuviziana za ndani ya chama. She needs to retire kwakweli.
Kweli mkuu, hata Mimi namba asigombee mwaka kesho. Atupe mtu mwenye vision Kama Magu, pamoja na madaifu yake mengi.
 
Wabongo hatujui kiswahili,hapo katumia kiswahili fasaha ndo mana hujamuelewa
Basi awe anaweka mtafisiri kila baada ya kuhutubia. Ingawa sioni kiswahili fasaha alichokitumia ambacho kinahitaji fasihi.
 
Ok, ila kwangu naona tuna wrong president at the right time. Rais anayeita Katiba kijitabu haiwezi kuwa mzuri kwenye good governance.
Si ndivyo inavyokuwa perceived na amesema honestly what she meant? Au kwakua unataka aseme asichoamini?
 
Aiseeeh! Kwa hivyo Rais hajui vichochoro ila Kamishna ndio anajua vichochoro vyote.
Mie nashangaa mnataka msikie Rais akisema uwongo, why? She is honest ila Sasa kama inatakiwa kuwa hivyo au la ndiyo anawaambia tuache hayo
 
Tatizo kubwa la Tanzania ni matumizi ya hela au kodi wanazokusanya. Kuna watu wanakula ruzuku kubwa sana. Na hao watu wanajificha nyuma ya uraia wa Tanzania. Hawa wafanyabiashara wengi wakubwa wenye asili ya Asia wanachota sana ruzuku zetu. Mfanyabiashara au Mwekezaji mzawa hawezi kupewa hizo nafasi kwa sababu wazawa hawatoi gawio kubwa kwa walio kwenye Mamlaka. Wapo wanaomiliki mashamba ya. Mkonge, wanao-agiza mafuta na wanaosambaza mbolea ruzuku wanazokula hawa jamaa aisee. Ukizunguka mitaani kutwa tujadili Simba na Hanga. Bongo fleva na Bongo movie . Halafu unakuta mtu ana kiwanda huku amepanga apartment upanga. Ukienda Pakistani,India na U.A.E ana mahekalu utadhani anafanya biashara Marekani. Kusumbuana kote huku ni uhaba wa dola. Mikopo inabidi ulipe kwa Dola .Dola itakaaaje hapa nyumbani wakati Biashara kubwa zinazohitaji dola zinamilikiwa na watu wenye prime interest nje ya Tanzania. Unataka dola iwepo wakati uagizaji wa mafuta, bandari kavu, uagizaji wa mbolea n.k tenda umewapa watu wenye asili ya nje. Mimi sio mbaguzi ila jamani tujionee huruma kuna bilionea kahamisha familia U.A.E na huyu ndio ana tenda ya kusambaza mbolea nchi nzima na ni mwekezaji wa mkonge. Unadhani faida kubwa anayopata inabaki Tanzania au anaiwekeza nje ?
Bado tuna mfumo ule ule wa ukoloni
1 class wazungu
2. Waarabu na wahindi
3. Akina matumbi sie...Kwenye nafasi tumebadili tu rangi lakini mawazo yako vilevile
 
Tatizo kubwa la Tanzania ni matumizi ya hela au kodi wanazokusanya. Kuna watu wanakula ruzuku kubwa sana. Na hao watu wanajificha nyuma ya uraia wa Tanzania. Hawa wafanyabiashara wengi wakubwa wenye asili ya Asia wanachota sana ruzuku zetu. Mfanyabiashara au Mwekezaji mzawa hawezi kupewa hizo nafasi kwa sababu wazawa hawatoi gawio kubwa kwa walio kwenye Mamlaka. Wapo wanaomiliki mashamba ya. Mkonge, wanao-agiza mafuta na wanaosambaza mbolea ruzuku wanazokula hawa jamaa aisee. Ukizunguka mitaani kutwa tujadili Simba na Hanga. Bongo fleva na Bongo movie . Halafu unakuta mtu ana kiwanda huku amepanga apartment upanga. Ukienda Pakistani,India na U.A.E ana mahekalu utadhani anafanya biashara Marekani. Kusumbuana kote huku ni uhaba wa dola. Mikopo inabidi ulipe kwa Dola .Dola itakaaaje hapa nyumbani wakati Biashara kubwa zinazohitaji dola zinamilikiwa na watu wenye prime interest nje ya Tanzania. Unataka dola iwepo wakati uagizaji wa mafuta, bandari kavu, uagizaji wa mbolea n.k tenda umewapa watu wenye asili ya nje. Mimi sio mbaguzi ila jamani tujionee huruma kuna bilionea kahamisha familia U.A.E na huyu ndio ana tenda ya kusambaza mbolea nchi nzima na ni mwekezaji wa mkonge. Unadhani faida kubwa anayopata inabaki Tanzania au anaiwekeza nje ?
Kweli kabisa mkuu
 
bado ccm inaendelea kutuonyesha kwamba hawastahili kurudishwa madarakani ila sisi wananchi tutakaza mafuvu tutawaligia kira hao mafisi na wataendelea kututesa......... naamini tungekua na lile jeshi la 6 kwa ubora saa hizi kuna mtu asingetakiwa aitwe mh. raisi
 
..hata suala la kusema Dr.Kijaji aliishindwa wizara ya biashara kwa sababu ya jinsia yake ni kauli ya kudhalilisha wanawake. Kumbuka kwamba Ashatu Kijaji ni Daktari wa falsafa, sasa mwanamke aliyeelimika mpaka ngazi hiyo bado ananyanyapaliwa kwa jinsia yake. Bado anaambiwa kuna kitu amepungukiwa ktk kutumikia serikali kwasababu ya jinsia.
Ile kauli ilinishangaza sana kwakweli. Hata Kama ilikuwa ni sababu asingieweka Waziri kiasi kile. Alimshusha sana Dr Ashatu.
 
Mikikimikiki ya Kariakoo imemuondoa mwanamke kwakua haiwezi na kumuweka mwanaume sasa niseme hivi hiyo ni midogo zaidi ya ile iliyopo hapa Nchini Tanzania.
Kwahiyo nishauri hivi kama Nchi tunahitaji mtu anaeweza kumudu mikikimikiki pia [emoji123]

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
Asante great thinker. Kama mikikimikiki ya kariakoo imemshindwa mwanamke, je mikikimikiki ya nchi nzima huyo mwanamke ataiwezaje?
 
Back
Top Bottom