econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
- Thread starter
- #161
Kama katiba ni kijitabu, alipata wapi uhalali wa kuwa Rais?. Aachie kudharau Katiba maana jeshi lingedharau Katiba huo urais angeusikilizia kwenye Clouds FM Radio.Si ndivyo inavyokuwa perceived na amesema honestly what she meant? Au kwakua unataka aseme asichoamini?