Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu, hata Mimi namba asigombee mwaka kesho. Atupe mtu mwenye vision Kama Magu, pamoja na madaifu yake mengi.Honestly speaking she is out of her depth. Nitashangaa sana kama atakuwa mgombea wa CCM 2025.
Hana vision, hana strategic thinking kwenye mambo ya msingi.
Sehemu pekee anapofabya vizuri ni siasa za kuviziana za ndani ya chama. She needs to retire kwakweli.
Si ndivyo inavyokuwa perceived na amesema honestly what she meant? Au kwakua unataka aseme asichoamini?Ok, ila kwangu naona tuna wrong president at the right time. Rais anayeita Katiba kijitabu haiwezi kuwa mzuri kwenye good governance.
Mie nashangaa mnataka msikie Rais akisema uwongo, why? She is honest ila Sasa kama inatakiwa kuwa hivyo au la ndiyo anawaambia tuache hayoAiseeeh! Kwa hivyo Rais hajui vichochoro ila Kamishna ndio anajua vichochoro vyote.
Bado tuna mfumo ule ule wa ukoloniTatizo kubwa la Tanzania ni matumizi ya hela au kodi wanazokusanya. Kuna watu wanakula ruzuku kubwa sana. Na hao watu wanajificha nyuma ya uraia wa Tanzania. Hawa wafanyabiashara wengi wakubwa wenye asili ya Asia wanachota sana ruzuku zetu. Mfanyabiashara au Mwekezaji mzawa hawezi kupewa hizo nafasi kwa sababu wazawa hawatoi gawio kubwa kwa walio kwenye Mamlaka. Wapo wanaomiliki mashamba ya. Mkonge, wanao-agiza mafuta na wanaosambaza mbolea ruzuku wanazokula hawa jamaa aisee. Ukizunguka mitaani kutwa tujadili Simba na Hanga. Bongo fleva na Bongo movie . Halafu unakuta mtu ana kiwanda huku amepanga apartment upanga. Ukienda Pakistani,India na U.A.E ana mahekalu utadhani anafanya biashara Marekani. Kusumbuana kote huku ni uhaba wa dola. Mikopo inabidi ulipe kwa Dola .Dola itakaaaje hapa nyumbani wakati Biashara kubwa zinazohitaji dola zinamilikiwa na watu wenye prime interest nje ya Tanzania. Unataka dola iwepo wakati uagizaji wa mafuta, bandari kavu, uagizaji wa mbolea n.k tenda umewapa watu wenye asili ya nje. Mimi sio mbaguzi ila jamani tujionee huruma kuna bilionea kahamisha familia U.A.E na huyu ndio ana tenda ya kusambaza mbolea nchi nzima na ni mwekezaji wa mkonge. Unadhani faida kubwa anayopata inabaki Tanzania au anaiwekeza nje ?
Kweli kabisa mkuuTatizo kubwa la Tanzania ni matumizi ya hela au kodi wanazokusanya. Kuna watu wanakula ruzuku kubwa sana. Na hao watu wanajificha nyuma ya uraia wa Tanzania. Hawa wafanyabiashara wengi wakubwa wenye asili ya Asia wanachota sana ruzuku zetu. Mfanyabiashara au Mwekezaji mzawa hawezi kupewa hizo nafasi kwa sababu wazawa hawatoi gawio kubwa kwa walio kwenye Mamlaka. Wapo wanaomiliki mashamba ya. Mkonge, wanao-agiza mafuta na wanaosambaza mbolea ruzuku wanazokula hawa jamaa aisee. Ukizunguka mitaani kutwa tujadili Simba na Hanga. Bongo fleva na Bongo movie . Halafu unakuta mtu ana kiwanda huku amepanga apartment upanga. Ukienda Pakistani,India na U.A.E ana mahekalu utadhani anafanya biashara Marekani. Kusumbuana kote huku ni uhaba wa dola. Mikopo inabidi ulipe kwa Dola .Dola itakaaaje hapa nyumbani wakati Biashara kubwa zinazohitaji dola zinamilikiwa na watu wenye prime interest nje ya Tanzania. Unataka dola iwepo wakati uagizaji wa mafuta, bandari kavu, uagizaji wa mbolea n.k tenda umewapa watu wenye asili ya nje. Mimi sio mbaguzi ila jamani tujionee huruma kuna bilionea kahamisha familia U.A.E na huyu ndio ana tenda ya kusambaza mbolea nchi nzima na ni mwekezaji wa mkonge. Unadhani faida kubwa anayopata inabaki Tanzania au anaiwekeza nje ?
Ile kauli ilinishangaza sana kwakweli. Hata Kama ilikuwa ni sababu asingieweka Waziri kiasi kile. Alimshusha sana Dr Ashatu...hata suala la kusema Dr.Kijaji aliishindwa wizara ya biashara kwa sababu ya jinsia yake ni kauli ya kudhalilisha wanawake. Kumbuka kwamba Ashatu Kijaji ni Daktari wa falsafa, sasa mwanamke aliyeelimika mpaka ngazi hiyo bado ananyanyapaliwa kwa jinsia yake. Bado anaambiwa kuna kitu amepungukiwa ktk kutumikia serikali kwasababu ya jinsia.
Asante great thinker. Kama mikikimikiki ya kariakoo imemshindwa mwanamke, je mikikimikiki ya nchi nzima huyo mwanamke ataiwezaje?Mikikimikiki ya Kariakoo imemuondoa mwanamke kwakua haiwezi na kumuweka mwanaume sasa niseme hivi hiyo ni midogo zaidi ya ile iliyopo hapa Nchini Tanzania.
Kwahiyo nishauri hivi kama Nchi tunahitaji mtu anaeweza kumudu mikikimikiki pia [emoji123]
Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
Ndugu mteja tunaomba jina lako na namba ya simu kwa msaada zaidiHuyu deiwaka hatoshi, tungekuwa na Gen Z inayojielewa vzr angefurushwa ofisini aende nyumbani akampikie mmewe chakula tuu!.