Mambo Matano usiyoyajua kuhusu Nahreel

Mambo Matano usiyoyajua kuhusu Nahreel

1 - sio kweli, nimrod ni baba mkubwa. Ushua ulikuwepo Ila baadae wazazi wake hawakua sawa na nimrod. So ushua ulitoweka na hata sasa wazazi hawapo sawa na mtoto

2 - beef ilikuwepo, sio chin bees tu hata na ola na damas pia. Mkishakua pamoja mkitengana lazima maneno yaanze. Kuhusu nyimbo za game na kamatia chini, huo ni uongo.

3 - Nahreel maisha hayajawahi kumshinda, ni Aika kukata tamaa na muziki tu lakini sio maisha kama maisha. Moyoni sio tobo lao, wimbo uliokua tobo lao ni "chelewa(bokodo)", moyoni ilikuja kuboost tu

4 - wimbo uliomtoa Nahreel kama producer ni ongea na mshua?? Hapana sio kweli, wimbo uliomtoa Nahreel ni "Niaje Nivipi" wa Joh makini ulifanyika Kama kawa records na ilikua 2008, hiyo ongea na mshua ilikuja baadae sana, akiwa tayari ameshajulikana na kufanya nyimbo kubwa tu ikiwemo "stimu zimelipiwa" ya Joh Makini, huu ni wimbo mkubwa sana wa hip-hop na ndio ulikua wimbo bora wa mwaka na ukampa joh makini tuzo ya mwanahiphop bora kwa mara ya kwanza
NB: ongea na mshua haikufanyika Kama kawa, ulifanyika mj records. Tudd Thomas kama kawa? Wengi wanamfananisha Yudd wa kama kawa na Tudd. Yudd kwa sasa yupo tongwe records

5 - Sio kweli, wimbo wenye viewers wengi you tube ni "kwangwaru"
Beef na quick racka haikua beef bali quick hakutaka Nahreel aondoke sababu alikua na jina kubwa sana kipindi hiko. Nahreel alikua ashapata pesa ya kuanzisha studio yake "The industry" isingewezekana kuwa chini ya mtu tena.

Nimechoka kutype, ila umeandika uongo mwingi

NB: Nahreel ni moja ya producer bora kabisa kuwahi kutokea - anaingia Top 5 ya best of all time
 
5. Kuhusu kwangwaru unaongea kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Uongo ngoma iliyowarudisha Nahreel na Aika kwenye game ni Chelewa sio moyoni. Kipindi wakiwa Pah one kiingereza kilizidi!

Nilikuwa nasikiliza XXL siku ngoma hii inatambulishwa. Leo ni karibia miaka kumi ila naikumbuka kama jana.

Siku zinakimbia sana.
 
1 - sio kweli, nimrod ni baba mkubwa. Ushua ulikuwepo Ila baadae wazazi wake hawakua sawa na nimrod. So ushua ulitoweka na hata sasa wazazi hawapo sawa na mtoto

2 - beef ilikuwepo, sio chin bees tu hata na ola na damas pia. Mkishakua pamoja mkitengana lazima maneno yaanze. Kuhusu nyimbo za game na kamatia chini, huo ni uongo.

3 - Nahreel maisha hayajawahi kumshinda, ni Aika kukata tamaa na muziki tu lakini sio maisha kama maisha. Moyoni sio tobo lao, wimbo uliokua tobo lao ni "chelewa(bokodo)", moyoni ilikuja kuboost tu

4 - wimbo uliomtoa Nahreel kama producer ni ongea na mshua?? Hapana sio kweli, wimbo uliomtoa Nahreel ni "Niaje Nivipi" wa Joh makini ulifanyika Kama kawa records na ilikua 2008, hiyo ongea na mshua ilikuja baadae sana, akiwa tayari ameshajulikana na kufanya nyimbo kubwa tu ikiwemo "stimu zimelipiwa" ya Joh Makini, huu ni wimbo mkubwa sana wa hip-hop na ndio ulikua wimbo bora wa mwaka na ukampa joh makini tuzo ya mwanahiphop bora kwa mara ya kwanza
NB: ongea na mshua haikufanyika Kama kawa, ulifanyika mj records. Tudd Thomas kama kawa? Wengi wanamfananisha Yudd wa kama kawa na Tudd. Yudd kwa sasa yupo tongwe records

5 - Sio kweli, wimbo wenye viewers wengi you tube ni "kwangwaru"
Beef na quick racka haikua beef bali quick hakutaka Nahreel aondoke sababu alikua na jina kubwa sana kipindi hiko. Nahreel alikua ashapata pesa ya kuanzisha studio yake "The industry" isingewezekana kuwa chini ya mtu tena.

Nimechoka kutype, ila umeandika uongo mwingi

NB: Nahreel ni moja ya producer bora kabisa kuwahi kutokea - anaingia Top 5 ya best of all time
Sahihi kabisa
 
Kwangu ni mmoja Kati ya watayarishaji Bora kwa bongo
1 Pancho latino Rip
2 Nahreel
Midundo na ubunifu tofauti na Hawa wengine
Safi hatu pishani sana mkuu kwangu wako 3
1.Duke wa m-laba skilza ngoma ya stereo Swahili midundo mule
2. Pancho Latino
3.Hermy B ...ngoma ya wanachemba squard humo Yuko ngwair na baba stayle
 
Back
Top Bottom