Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

Buku 7, buku 5 bangi, buku bee msosi😆
😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wangu
 
Duhh ila binadmau tuna tamaa sana mkuu! Watu wanakana mpaka wapenzi wao kisa chochote kitu🥺
 
🤔
 
Leta muendelezo wa kesi tajiri wa Kigamboni,
Ikawaje sasa?
 
Hiyo ni namna moja japo sio halali na njema machoni jamii. Huyohuyo anayepanda kutokana na kungonoka vizuri ujue anaweza kuwa mwenza wa mtu. Kadhalika jamii ikitambua hilo ni wazi huyu mtu hadhi yake itaporomoka.

Mtu anaweza kuwa na nafasi kijamii ila kimaadili ni hovyo tu. Watu wanamwona hovyo tu kutokana na tabia kama hizo
 
Hivyo vyote vina maagano au mikataba ya Kiroho Spiritual...ni milango ya kiroho.

na ulimwengu wa Roho(usio onekana) unatawala ulimwengu wa kimwli(physical--unao onekana).

1)chakula kuna mtu aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza na baraka zake kwa kubadilishana na sahani ya chakula au bakuli la supu..

Kuna watu wameibiwa baraka zao na nyota zao kupitia vyakula,au kuna watu wamelogwa chawiwa kupitia vyakula
na hata kufa kuuawa kabisa au kuwa masikini nakuharibikiwa kabisa kupitia chakula.

2)NGONO kadhalika kama namba 1. ni dhambi ambayo imekewewa kwa maangalizo makali sana

3)Maneno-huumba ,hata mpumbavu huonekana mwerevu akiamua kukaa kimya.

unategwa kwa maneno ya kinywa chako...ULIMI ni kiungo ambacho kimetajwa kwa maangalizo makali sana...ni kiungo kidogo chenye madhara makubwa ,na hata mizaha imekemewa kwa maangalizo makali hata kuongea kwa kutania tu..mana maneno huumba na kuweka maagano kiroho...
 
Kwenye chakula kama natumia hela yangu,nyie semeni sijui nioneni kituko mtakavyoona ila kula siachi ng’o!

Vibaya upo ugenini unataka ule kama upo kwenu.
 
Siyo ngono zembe pekee inayoweza kukugharimu, hata ngono salama, ukiidekeza unakwenda na maji.
 
Umeandika kilichokuwa mawazoni mwangu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…