Mambo mawili yaliyonishangaza Tanga

Kwamgwe mna computer/simu janja na internet?
Baadhi Wana simu janja,Wakazi wa pale ni wakulima wa machungwa na Mahindi,tatizo la pale ni ndumba

Nyumba za makuti kwa Tanga ni kitu Cha kawaida nenda Mkinga,Pangani,Muheza na maeneo mengine utakuta vijimba vidogovi do ogo vipo vingi sana.
 
Hapo singida mjini tu kuna watoto wanatega kwenye vile vibanda vya chips, mteja akimaliza kula chap wanarukia kwenye ile sahani yake wanakula yale makombo yaliyobakizwa na kumung'unya ile mifupa iliyoachwa mezani na iliyodondokea chini
 
Mbona laana hizi. Utafikiri ile hadithi ya maskini Lazaro wa kwenye Bible
 
Ukijenga nyumba tu nzuri au yenye nafuu unarogwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio mtaji wa CCM, kwa kifupi hao inabidi kwa gharama zozote zile waendelee kuwa masikini ili CCM iendelee kutawala
 
Nikuulize umewahi kufika Zanzibar hasa Makunduchi, Wamakunduchi wengi hadi kesho wanatembea pekupeku hata pale mitaa ya Mjini Magharibi ambayo ndio Dar ya Zenj watu wanatembea bila kuvaa viatu wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…