Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekaa kisukuma gang wewe. So mauaji aliyofanya Jiwe unahitaji mifano??? Kuna mtu ambaye ni timamu hajui uovu wa Jiwe?
 
Unahoja nyng, lkn tambua jombi hakua mtu
 
Eti politics is a game of chance....muonage aibu kutetea utawala uliokithiri kwa dhulma na ubaguzi wa kivyama. Wakati viongozi wa kabla yake waliliunganisha Taifa, yeye aliligawa, ilifikia wakati akifa wa chama fulani huyu haendi hainihusu. Wakurugenzi wakatolewa tangazo la vitisho kuwa eneo lako ashinde mpinzani sijui utanieleza nini, sanduku la kura likawa haliheshimiwi, mpaka bwana mkubwa atake nani achaguliwe. Utawala wa hovyo, mama angalao anarudisha mshikamano wa Kitaifa.
 
Jamaa aliseme akifa ataenda kuongoza malaika! Labda malaika wa motoni
 
Wewe hujui,au unaijua kamati wezeshi tuu
 
Na kusema kwamba hakupeleka Tetemeko Bukoba
 

So we unaandika kutokea kuzimu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji22][emoji22] husamehi Vipi ! Ila alokuumba ana samehe we umekua Nani !! Au we unajikuta msafi sana [emoji3][emoji23][emoji23] pole sana
 
So we unaandika kutokea kuzimu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji22][emoji22] husamehi Vipi ! Ila alokuumba ana samehe we umekua Nani !! Au we unajikuta msafi sana [emoji3][emoji23][emoji23] pole sana
Je,nyie mlishaomba msamaha kwangu?
 
Mbn hata sasa bd wanatekwa tuu mkuu
 
Alikuwa hovyo kabisa mtu huyu sijui alichaguliwa vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…