Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Muda mchache mambo mengiSawa
Ili unabii utimie wa reformed checkeraliyemshauri mama afunge makanisa amemchafua sana. hata yeye mwenyewe anajua.
Aliyeelewa atusaidieReformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker,hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa bara ya wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa machozi na chawa pro max wote,watakuwa used condom.
Fomu ni mojaReformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker,hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa bara ya wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa machozi na chawa pro max wote,watakuwa used condom.
Haitatokea tenaFomu ni moja
Mungu amesikia maombi yenuMungu asimamie haki
Yanikuanzia 2030 au kuanzia hii 2025?Haitatokea tena
Mambo mengi muda mchacheNgoja nitafute kamusi za kiswahili na kiingereza labda nitaelewa!
Kuanzia 2025Yanikuanzia 2030 au kuanzia hii 2025?
Hii lugha ya Wafalme ni kwa bahati mbaya au mpamgo elekezi,kutema mayai siye wa kayumba kutema mayai ni kizungu mkuti.Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker,hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa machozi na chawa pro max wote,watakuwa used condom.
Mwenye macho aone na mwenye sikio asikieRoformed checker ni nini?
Mimi sio muumini ws miujiza mkuu --- haiwezekaniKuanzia 2025