Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker,

Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa machozi na chawa pro max wote,watakuwa used condom.
Yani mi namshangaa sana Jakaya! Ata kama anaoiga pesa sawa lakini hapana! Amekuwa muhuni sana.
 
aliyemshauri mama afunge makanisa amemchafua sana. hata yeye mwenyewe anajua.
Kutafuta huruma ya makanisa ni wazi kuwa sio harakati zidi ya Demokrasia na utawala wa sheria bali ni harakati zidi ya KANISA,
Ni upuuzi aise.
 
Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".

Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Wamekuweza sio poa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom