Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
- Thread starter
- #21
Muda mchache mambo mengiHii lugha ya Wafalme ni kwa bahati mbaya au mpamgo elekezi,kutema mayai siye wa kayumba kutema mayai ni kizungu mkuti.
Muda mchache mambo mengiHii lugha ya Wafalme ni kwa bahati mbaya au mpamgo elekezi,kutema mayai siye wa kayumba kutema mayai ni kizungu mkuti.
Mambo mengi muda mchacheMajukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".
Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Ndio uhangaike sasaDuniani ni kuhangaika tu
Hii si muujiza ni lazima itimie kadri inavyozuiliwa vilevile ndivyo inavyozidi kuchochewa kutimia kwa haraka,kifupi haizuiliki na haiepukiki.Mimi sio muumini ws miujiza mkuu --- haiwezekani
NRNE tu haitoboi sembuse hiyo ya 2025 mkuu. Mnapenda sana miujiza
Vichekesho. Itabaki kuwa ni matamanio yako tu.Muda mchache mambo mengi
Weka timeframe for future referenceHii si muujiza ni lazima itimie
October game ni overWeka timeframe for future reference
Ndio tunahangaika hivoNdio uhangaike sasa
Nani atalazimisha hili?Hii si muujiza ni lazima itimie kadri inavyozuiliwa vilevile ndivyo inavyozidi kuchochewa kutimia kwa haraka,kifupi haizuiliki na haiepukiki.
Subscribe ,october nipe mrejeshoVichekesho. Itabaki kuwa ni matamanio yako tu.
Mambo mengi muda mchacheNani atalazimisha hili?
Empty hopes hiziMambo mengi muda mchache
Unataka kusema nini? Kuna mabadiliko yanakuja?Subscribe ,october nipe mrejesho
nime bookmark mkuu,October game ni over
Tena makubwaUnataka kusema nini? Kuna mabadiliko yanakuja?
Kete zote mbili zitakavyo liwa ,nadhani utaamininime bookmark mkuu,
nb miujiza haiwezi komboa taifa hili
Ponjoro mwenzangu upo
Naam nipo hapa kinondoni.Ponjoro mwenzangu upo