Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".

Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Mambo mengi muda mchache
 
Mimi sio muumini ws miujiza mkuu --- haiwezekani

NRNE tu haitoboi sembuse hiyo ya 2025 mkuu. Mnapenda sana miujiza
Hii si muujiza ni lazima itimie kadri inavyozuiliwa vilevile ndivyo inavyozidi kuchochewa kutimia kwa haraka,kifupi haizuiliki na haiepukiki.
 
Kama kila mtu anapiga anapotaka hivi haaa haaa i love mama Tanzania!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…