Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Yani mi namshangaa sana Jakaya! Ata kama anaoiga pesa sawa lakini hapana! Amekuwa muhuni sana.
 
aliyemshauri mama afunge makanisa amemchafua sana. hata yeye mwenyewe anajua.
Kutafuta huruma ya makanisa ni wazi kuwa sio harakati zidi ya Demokrasia na utawala wa sheria bali ni harakati zidi ya KANISA,
Ni upuuzi aise.
 
Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".

Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Wamekuweza sio poa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…