Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Hiyo huwa inawageuka na kuwqla nyie mnao isaka. Ishawashinda.
Nashangaa tu niguse ninuke aliondokaje kirahisi
Hiyo kete haina mwendo tena,mwaka Jana ilipapaswa kidogo lakini ilidhoofu,je pigo zito mwaka huu itatoboa??
 
Kutafuta huruma ya makanisa ni wazi kuwa sio harakati zidi ya Demokrasia na utawala wa sheria bali ni harakati zidi ya KANISA,
Ni upuuzi aise.
ni upuuzi kwa sababu wewe hausali, unaswali. kwetu sisi tunaosali ibada ni muhimu kuliko hata hizi siasa zenu. ni haki yetu na katiba imetupatia haki hiyo, ila mnainyang'anya.
 
Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".
Sisi kazini J5 ma HR ndio wanatushushia mpango kazi nadhani mzigo utaanza officially kutik.
 
Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".

Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Halafu ukijaribu kuweka hizo plan,mfumo unasema huu si wakati wa ku plan..
 
ni upuuzi kwa sababu wewe hausali, unaswali. kwetu sisi tunaosali ibada ni muhimu kuliko hata hizi siasa zenu. ni haki yetu na katiba imetupatia haki hiyo, ila mnainyang'anya.
Kama ingekuwa mnaenda kusali KANISA lisingefungiwa bali mna agenda yenu ya siri na watanzania wameshtuka janjajanja yenu aise.
 
Kuwa na amani kete namba 4 italiwa tu
wakati nyie mnapanga kuila kete namba 4..vp na yenyewe hiyo 4 imetulia tu inasubiri iliwe na sio kwamba nyie mnapanga lakini yenyewe inapangua na kukwepa au hata kuwapunguza nyinyi mnaoiwinda...namba 4 haipo kizembe hivo kama mnavyoitaja humu iko smart mno hiyo genge lake na system yake aliyoijenga ni kubwa mno ipo kila mahali hakuna linalopangwa dhidi yake na isijue..sema hilo game lenu ni la kutafutana tu atakayemuwahi nwenzie ndie atashinda pambano huko ni piga nikupige..
 
Soon tutabubujikwa na machozi wakati chawa wanalia😅😅
 
Wao ndo wameshajipanga kitambo sn, but siku 1 tu,haiko mbali Mungu analitembea hili Taifa kivingine .
 
Hiyo kete haina mwendo tena,mwaka Jana ilipapaswa kidogo lakini ilidhoofu,je pigo zito mwaka huu itatoboa??
hilo pigo zito mwaka huu lishapigwa linasubiri matokeo au bado liko kwenye michakato.? sio mko kwenye maazimio na mipango mnakuja kujitapa humu kabla ya utekelezaji maana kila siku tunaiona inadunda bila stress.!
 
Mambo mengi muda mchache
 
Tambua kete namba 4 lazima iliwe ,chukua assigned namba zao kete hizo mbili zilizobaki kwenye checker zijumlishe ,hiyo total zao ni sawa na mwezi hizo kete zote zitaliwa ,checker haitakuwa na kete kwa maana hiyo vyumba vya checker hiyo vitakuwa na magepu sita yasiyo kuwa na kete,new phase ya kureform checker itaanza,kete mpya ya mwalimu itajenga msingi wa historia ya new phase ya reformed checker
Kete ya mwalimu itakuwa baba wa demokrasia
 
Ni kwel Reformed checker wapo makin unaambiwa wiki ijayo n mwendo wa kutembea meno 32 nje
Next week kitu kipya mjini kinatia timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…