Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

Leo hizi thread zinamiminika kwa wingi Sana kiasi zinasababisha hofu.
 
.
 
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
 
Mambo mengi muda mchache
 
Kama ingekuwa mnaenda kusali KANISA lisingefungiwa bali mna agenda yenu ya siri na watanzania wameshtuka janjajanja yenu aise.
kwa bahati mbaya sana, akili hii uliyonayo ndiyo na viongozi wenu wanayo. kwamba waumini wa ufufuo na uzima wanapoenda kusali wana agenda yao. makanisa yote 2000 nchi nzima kila wanapoenda kusali wana agenda yao. Laana imekujaa na itakutafuta maisha yako yote.
 
Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".

Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Hao Tanzania microfinance wanatakiwa was accept applied loans ziende kwa mwajiri approve tupate mpunga!!

Wanatuchelewesha ku tick october na kulipia vingamuzi tucheki mabadiliko ya Sheria kabla ya uchaguzi mkuu!!
 
Acha tuone kama ni kweli
 
Makanisa nchi nzima ni 2000 na lililo fungiwa ni Moja, lkn nyie Makafiri wa UFUFUO na UZIMA mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watanzania kuwa makanisa yamefungia kama sio Ujinga ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…