Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

Tuko wengi tuu Wala hauko peke yako.. Sichagui rangi Wala Kimo ilimradi ana sura na shepu na haijalishi mwembamba au mnene, mke wa mtu au Binti.
 
Hakuna aibu hapo, si dhambi kupenda na hakuna mwanadamu asiyependa kitu kizuri..

Nani anapenda tabu duniani!?
 
Bado una akili za kitoto kwahio ni sawa tu endelea... Ukimaliza balehe utaona vitu vya kawaida tu... By the way shule na vyuo vifunguliwe vijana mmejazana kwenye nyumba za waume wa dada zenu hamna kazi zaidi ya kuperuzi mitandao...
 
Bado una akili za kitoto kwahio ni sawa tu endelea... Ukimaliza balehe utaona vitu vya kawaida tu... By the way shule na vyuo vifunguliwe vijana mmejazana kwenye nyumba za waume wa dada zenu hamna kazi zaidi ya kuperuzi mitandao...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku ukifika Casino utaelewa Mimi na Wewe Nani anaakili za kitoto.

Ukiwaona wanaokuongoza Kwa kila kitu wamezungukwa na pisikali ndio utaelewa wewe ni mnafiki wa kiwango cha juu.
 
Unafanya ku desa maana ukijifanya ni demu wako utakuja kupotea..

Mke wa mtu unadonoa na unasepa sio kumfanya demu wako,mwizi anakamatwa mara ya pili.


πŸ˜€πŸ˜€

Mimi ushauri wangu achana nao tuu. Maana Shetani si unajua Hana rafiki. Unapoingia ushirika naye chagua vya kushirikiana naye ili maumivu yaziwe makali
 
Wanawake wazuri wote wasio na madharau nawawekea dhamana ya kuingia mbinguni bure.... Nipo tayari kwenda motoni kwaajili yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…