Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Wadau network inakata,ngoja nichek movie now
Asante kwa company yenu
Asante kwa company yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway, tunatofautiana. Mimi napenda nikisafiri niwe na chupa ya maji ya Kilimanjaro ile kubwa , iwe imejaa konyagi na simu iwe na bando na bus liwe na charging port basi.Tatizo nimekata tiketi siku moja kabla,lau manifest ingekuwa inaonyesha majina ningechagu ya mchuchu,ishu inaonyesha namba za siti tu
Miaka 25 ilyopita wakati nasafiri sana kibiashara na mshkaji wangu, wale wakata ticket tushafahamiaa nao,kwaiyo tulikuwa tunawapanga abiria wakukaa nae kwenye siti anayokaa mmoja wetu ajitaidi atuweke mwanamke msichana,
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka
Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia
Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani
Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba
Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama
Ni hayo tu!
Hajui huyu,ilikuwa zetu miaka iyo ,dahWatu huwa wanahonga wakata tiketi. Unapangwa na binti
Watu kama nyie ndiyo mnasababisha AJALI. Ila si ungesafiri na mkeo demu wako kuliko kwenda kuokoteza kwenye mabasi.
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka
Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia
Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani
Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba
Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama
Ni hayo tu!
Hizo zama za kuomba nisafiri siti moja na demu kwangu zimeshapita zamani sana. Sasa hivi nikienda ku book ticket namwambia kabisa konda siti yangu niweke na me mwenzangu na awe na mwonekano wa mtu mwenye kujitambua kishaa namuachia 5000 ya maji.
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka
Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia
Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani
Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba
Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama
Ni hayo tu!
Umefika?Wadau network inakata,ngoja nichek movie now
Asante kwa company yenu
huyu ni mimi kabisa, tukishasalimiana inatosha kila mtu apambane na mawazo yakeMimi uwa siongei njiani ,haijalishi nimekaa na nani!
Wala kula kula njiani.
Una akili sana mkuu, kwa upande mwingine hawa viumbe ukiwaendekeza ni kujitesa snaHizo zama za kuomba nisafiri siti moja na demu kwangu zimeshapita zamani sana. Sasa hivi nikienda ku book ticket namwambia kabisa konda siti yangu niweke na me mwenzangu na awe na mwonekano wa mtu mwenye kujitambua kishaa namuachia 5000 ya maji.
wanawake wanakula ovyo safari nzima simu hazikatiki alale akuegemee na manywele yake.Ukimtongoza tyr umechukua jukumu la kumlisha halafu anaposhuka tu anapokelewa na mwanaume mwingine wewe unabaki na no za simu tu zisizo kusaidia kitu.
TUPO TOFAUTI SANA HELI NIKAE NA MAMA MTU MZIMA WA MAKAMO NA MSOMI AU MFANYA BIASHARA
Mimi kwa sasa nikikaa na mwanamke mfano nimepanda nae mwanza badi nikifika igunga tabora lazima nimuombe konda anibadirishie siti hata kwa kumpa hela. Kwa sasa sipendi kabisa kukaa siti moja na mwanamke mwezi wa 11 nilikaa na mwanamke asee safari ilikuwa ngumu sana kila dk hapa ni wapi mara tumekaribia simu kila mara nilimufuta konda akaniambia siginda watu wanashuka wengi uta change hapo. Nafika siginda konda yule si kashuka na siti walizo shuka watu wakapanda abiria wengine nilifika kahama sina hamu kabisa. safari yote hakuna cha maana tulichoongea.Una akili sana mkuu, kwa upande mwingine hawa viumbe ukiwaendekeza ni kujitesa sna