Fuatilia uteuzi wa Kikwete ulivyokuwa utapata habari kamili, wakati ambapo majina ya mwisho yalikuwa Kikwete, Salim Ahmed Salim na Prof. Mwandosya. Kikwete alikuwa na taarifa chafu ambayo Mkapa aliamua "kuipuuza", lakini kuipuuza huku kulikuwa na walakini.
Sifikirii anaweza kuandika kila kitu kitabu kimoja kikatosha. Dhumuni au lengo la mwandishi linaamua kitu gani kiwepo au kisiwepo kwenye kitabu. Shida ni pale unaposema unaandika kitabu kuhusu maisha yako huku unaweka baadhi ya mambo na kuandika machache, Title ingebadilika.
Tumeweka wazi kwa kuuliza kama ameandika hayo mambo, na kukiri kwamba hatujakisoma hicho kitabu. Sasa kama wewe umekisoma jibu, maana thread iko kwa namna ya maswali kwa waliokisoma.Wabongo bana
Mtu anaanza kuchambua kitabu kabla hajakisoma
Hahaha
Mkapa Ndiye aliyesababisba ushenzi wote unaoendelea mpaka leo!
Ilo la idala ya usalama wa taifa kukataa ni kweli ila kikwete alikuwa akiungwa mkono na JWTZ na Salim alikataliwa na jeshi na ndiye alikuwa apewe nchi so ndio ugumu ulipoanzia apo kwa Mkapa.
Tumeweka wazi kwa kuuliza kama ameandika hayo mambo, na kukiri kwamba hatujakisoma hicho kitabu. Sasa kama wewe umekisoma jibu, maana thread iko kwa namna ya maswali kwa waliokisoma.
Hawezi kuandika kila kitu Mkuu - ndio maana nikasema mambo muhimu!
Cheni ya kilo Tano alikuwa anaovaa Shingoni? Au Mimi sijaelewa Mkuu
HahahaWabongo bana
Mtu anaanza kuchambua kitabu kabla hajakisoma
Hahaha
NI kweli kabisa uliyosema, na lazima tumpe sifa anapostahili. Ila sasa, watu wanasema Mkapa aliona kwamba kwa sababu ya yale mazuri aliyoifanyia Tanzania, alistahili kujilipa kwa kujiuzia vitu kama Kiwira Coal Mine kwa bei chee nk. Sasa uifisadi ni ufisadi, huwezi kusema mie nitafisadi kwa kuwa nimefanya mengi mazuri kwa Tanzania.Binafsi naona amejitahidi kueleza mengi yakiwepo mapungufu yaliyotoke na sababu zake. Ukweli ni kwamba hakuna mtu aliye mkamilifu lakini ni kwamba katika kipindi chake alifanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuthibiti mfumko wa bei takrbani kipindi chake chote. Nchi ilaza kukopesheka, watumishi maisha yalikuwa manzuri, kulikuwa na uhuru wa kuongea, vyama vya siasa vilifanya kazi zao na mwisho aliikabidhi nchi ikiwa na akiba ya kutosha ya fedha
So what are you saying, kwamba maswali niliyouliza ameyatolea ufafanuzi kwenye hicho kitabu na hivyo nakuwa na-judge kabla sijasoma majibu ya hayo maswali?Mkuu usijudge kwanza ukiwa bado hujakisoma kilichopo,maybe you were carried away by the contents. You might be more or less of a critic.
Kwani serikali si ya wananchi, sasa kwa nini nisijue mambo kuhusu serikali yangu kama mwananchi?Unaonekana unaijua serikali sana shauri yako watakutafuta uwaeleze na mengine unayoyajua
Kwa hiyo umejibu thread kwa kusoma heading? Ngoja siku moja ukutane na heading inasema "Waziri kafumaniwa na mke wa mtu Ilala" uje mbio kujibu thread kusema mawaziri wa Magufuli mafuska, kumbe walikuwa wanamsema Athumani Waziri mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Ilala!Heading inasema mambo ambayo hajaweka wazi
So waht are you saying, kwamba maswali niliyouliza ameyatolea ufafanuzi kwenye hicho kitabu na hivyo nakuwa najudge kabla sijasoma majibu ya hayo maswali?
Have you read my thread? If you had, you wouldn't have asked that question. So don't post replies after reading the thread heading only.Tell me kwanza,have you read the book? Tuanzie hapo, you have to know his hit amd miss feom what he wrote kwanza,umjudge kwa vitu 2 at least, alivyoandika, alivyoviacha