inaonekana ulikuwepo kwenye ha yo makubaliano ya Mkapa na Kikwete. Anyway tunaojua kutazama nyuma ya Pazia tumeshakusoma kuwa hayo ni mambo yako ya kutunga tu na ukachanganya na story za kijiweni. LENGO LAKO LIKIWA NI UZANDIKI. Tatizo umesahau kuwa Humu ndani wengi ni GREAT THINKERS.
I say kama Great thinkers wanaandika kama wewe sitaki kabisa kuwa mmoja wao!
HIvi umejiuliza naweza kuwa karibu kisi gani na hawa watu, au umekurupuka tu?
Ngoja nikupe story nyingine, sasa kama unaweza kumfuata Kikwete au Mwandosya akakuthibitishie fanya hivyo, lakini inakusaidia kuelewa kwamba sio kila mtu humu JF anakitungia hadithi. Sasa hii ni virgin story, hutaikuta popote pale!
Basi Raisi Kikwete alipochaguliwa kuwa raisi, akatuita. Akasema unajua mie nina ugomvi na Prof. wa siku nyingi, nadhani ili tufanye kazi vizuri pamoja ni vema tukasuluhiswah, hivyo nawaomba muende mkamwone Prof. Mwandosya ili tukutanishwe na kusuluhishwa. Tukaenda kumwona Mwandosaya na kumweleza ujumbe toka kwa Kikwete. Prof akatulia kidogo, akatuangalia halafu akatuuliza, "mimi nashangaa, kwa kuwa sijui kama nina ugomvi na Kikwete wa kutaka tusuluhishwe. Kwani Kikwete alivyosema tukatanishwe tusuluhishwe, aliwaambia kuna ugomvi gani kati yetu? Maana mimi sina tatizo na Kikwete ambalo naona linahitaji tusuluhishwe". Tukamwambia hajatuambia tatizo kati yenu. Basi Mwandosya akaonekana kushangaa na kukerwa kidogo, akatuuliza, "yaani nyie mlikubalije kuwa wasuluhishaji wa tatizo ambalo hamlijui na wala hamkumuuliza? Basi mie ningewashauri mrudi kwa Kikwete, mumwambie tumekutana nae, lakini amesema yeye hana tatizo na wewe, na kama kuna tatizo basi awaambie ni tatizo gani ili mnaposuluhisha mnakuwa mnajua mnasuluhisha juu ya tatizo gani. Sasa mnataka mie nikasuluhishwe na Kikwete bila kujua tunasuluhishwa kuhusu tatizo gani? Mtasema nini wakati wa kutusuluhisha? Na nyie mtakubalije kuwa wasuluhishaji bila kutaka kujua mtasuluhisha tatizo gani, mambo gani haya jamani?"
...nimabie nimekurupuka. Usione watu tuko JF ukadhani wote ni watu wa vijiweni tunakurupuka kama wewe. JF is a rich source of inside information. NIkikuambia naweza kuandika kitabu juu ya Mkapa usibishe, eboo.
😀😀😀