Iringa Native,
Swali la Msingi1: Unafikiri kwanini EL alimuunga mkono JK, kwani yeye alikuwa hautaki Urais?
Swali la Msingi2: Unafikiri kwanini wanamtandao walimsimamisha JK na sio EL mwenye nguvu?
Swali la Msingi3: Unajua muasisi wa kundi la Wanamtandao?
Swali la Msingi4: Unajua nafasi ya JK kwenye kundi la wanamtandao ilikuwa nini?
Swali la Msingi5: Unajua kwanini Kundi la wanamtandao limekufa?
Swali la Msingi6: Unafahamu JK aligombea Urais 1995 na ukawepo mchuano na BWM (Chaguo la JKN).
Swali la Msingi7: Unafahamu sintofahamu iliyotokea chimwaga mbele ya JKN 1995 na BWM akawa mgombea wa CCM.