Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Hawa watu maarufu na matajiri ndio mabingwa wa kulipa watu vibaya,,anakuona kama huna option hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa stori nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana na comment. Mwenyekujifunza atasoma mwanzo mwisho ataelewa. Kikubwa bora tupe story ya mabaya uliyofanya kazini. Maana hapa wewe umeonekana kuwa bora tu.

Utuambie mabaya yote na namna ulivyoweza kujinasua mpaka ukaweza kuendelea na kazi zako na kuendelea kuaminiwa na mashirika yote uliyowahi fanya nayo kazi.

Naamini watu tutajifunza zaidi na kuelewa namna gani watu hufanya wanapokuwa katika wakati mgumu kazini.
 
Asante sana kwa muda wako mkuu
Umetupa exposure kubwa sana.

Pia nakuomba usisite kutupa mrejesho pindi utakapo pata fursa kwingine.
 
Kwanafasi ya kipekee.. nikupe Hongera TAI DUME kwa kushusha huu uzi wenye mafunzo,elimu na ujuzi wa kutosha kwenye maisha ya ajira na yasiyo ya ajira.. Bro kama unakitu kingine cha kushare na sisi kwenye uzi huu usisite kutupa knowledge... Mungu akujalie upate ajira mkuu.. Nawasilisha.
 
Noma sana …hii ….
 
Ndio una ambiwa better to be born lucky than gifted
Hakika mkuu yani unakuwa ofisini unakuta mtu mambo anayoyafanya hadi unajiulize alitumia mbinu gani kupat kazi? Yani hadi unahisi aliroga serikali yani yuko hovyo hovyo…..alafu ni boss sasa haahahhaha
Halafu unakuja mtaani una kutana na wakina Tai Dume aiseee yani Acheni Mungu aitwe Mungu….,,,,
 
Ni kweli imeshawahi kunicost hii. Kwakuwa ilikuwa ni negative sikutaka kuiweka hapa.
Mkuu kwa kuwa ni work and life experience unaweza ukatupa hata negative kwani tutajifunza sana tuu wengine hawajui hilo….Mkuu Tililika
 
Lilia bahati sio kipaji 🤣🤣🤣🤣
 
Usipende kumuweka MTU kwenye CV yako kisa alikuwa ni boss wako, utalia na kwambia
hapa nakuunga mkono 100% nilifanya intervw sehem nikapita mchujo wa kwanz,ikafata mchujo wa pili nikapita bwana eeh kumbe maboss zangu wa zaman walivyojua aseh kumbe boss wa hiyo kampun wanajuana niliharibiwa mchana kweupe na kilichoniponza hasa ni CV yangu nilijuta
 
Aaah kumbe.. Ngoja nikafanye marekebisho aiseee...!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli imeshawahi kunicost hii. Kwakuwa ilikuwa ni negative sikutaka kuiweka hapa.

Wa Afrika hatupendani sisi Kwa sisi. Majungu fitina,roho mbaya ndio tumeendekeza,

Ndio maana ilikuwa rahisi kutawaliwa na wakoloni coz ya ubinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…