Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Je ukiwa permanently auditor wa kampuni zangu maana nina moja tayari nataka kufungua ya pili ina cost tshs ngapi kwa monthly or yearly ila sikuajiri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kuanzisha kampuni kwa mtaji mdogo
Kwa mujibu wa sheria za usajili wa kampuni 2002, mtaji unaanzia sh 20,000 tu. Hivyo hiyo mil 2 ni kubwa kwani hata kiusajili ipo daraja la pili kati ya mil 1 hadi mil 4.99. Hivyo huo sio mtaji mdogo

2. Je ufanye nini kwa biashara hiyo?
Nakushauri biashara hy uliyonayo iboreshe na kuiendesha kwa muundo wa kisasa inaweza kuwa kama mini supermarket kwa food shop, au duka la jumla lakini likiwa kampuni. Mfano kuna maduka yalikuwepo mengi ya Metl (juu yaliandikwa nonstopshop) hivyo biashara hyhy unaweza kuiboresha zaidi na huna haja ya kuanza biashara mpya. Muhimu uibadilishe namna ya uendeshaji na isiwe wewe mpaka uwepo bali uwe na 'management' ambayo itasimama imara

3. Suala la kodi
Ni kweli faida mojawapo ya kampuni ninkuwa huru katika kodi za kukadiriwa na TRA kwn utakuwa wajikadiria mwenyewe na mwisho wa siku utawasilisha hesabu za mizania kuonyesha hasara au faida uliyopata na kodi stahiki unayotakiwa kuilipia. Gharama za kuandaliwa mahesabu unaingia mkataba na kampuni za ukaguzi na huku ndani ya kampuni yako kuwa na mhasibu au unaweza kumwajiri hata wa part time
Reach New Heights
 
Inategemea na makubaliano baina ya kampuni yako na mkaguzi husika. Na huu ndiyo mfumo zuri zaidi wa kufanya kazi kama part time. Muda pia ni mambo yanayojadilika kutokana na nature ya biashara
Je ukiwa permanently auditor wa kampuni zangu maana nina moja tayari nataka kufungua ya pili ina cost tshs ngapi kwa monthly or yearly ila sikuajiri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Reach New Heights
 
Asante sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako japo bado kimbembe ni kupata manager mwaminifu na imara.
 
Kwa kuwa hili swali liko kwa ajili yako mambo mengi ni mapatano kutokana na ukubwa wa kazi. Noamba kwa undani zaidi nikujibu pm. Ila napenda kuwaelimisha wana jamvi mambo mengi kwenye uendeshaji wa makampuni yanaendana na makubaliano na kwa kuwa hizi kazi ni kazi za kitaaluma basi kuna jinsi yake na taratibu zake za kufuata ili kupata huduma stahiki.

Je ukiwa permanently auditor wa kampuni zangu maana nina moja tayari nataka kufungua ya pili ina cost tshs ngapi kwa monthly or yearly ila sikuajiri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu, Ila biashara siku hizi kaka ni mifumo kwahiyo jitahidi kuweka mifumo ya check and balance ambayo haipi mtu mmoja mamlaka ya kufanya yale anayotaka ila yale yanayotakiwa. Na unaongeza na CCTV jicho la tatu unaweza kufanikiwa sana.

Asante sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako japo bado kimbembe ni kupata manager mwaminifu na imara.
 
Mida hii ya mwanzo wa mwaka ndio muhimu kukaa na wataalamu wako wa fedha kwanza kufanya jambo linaloitwa Tax Planning kujua kwa ujumla mwaka huu unakusudia kufanya nini na nini hasa adhari zake katika kodi. Nimeongea na wafanyabiashara wengi napenda kusema hata wale wa kati swala hili bado halijapewa msukumo wa kutosha na lazima uelewe biashara za karne hii zinaenda kwa mipango sasa ukitaka wewe mshutuko ndio ukufanyie mpango utakuwa siku zote nyuma ya ratiba.
Pili ni muda mzuri sana wa kufanyiwa audit kabla mauditor hawajawa busy inapoelekea mwishoni na hivyo law of demand and supply inaweza kutumika kwa hiyo ukapata bei nzuri sasa. Watafute sasa usiahirishe kwasababu una muda.
Alamsiki
 
Wadau ni tarehe 19/February tayari ni mwezi tu umebaki kuwasilisha makadirio yako ya mapato TRA. Ni vyema ukafanya haya mapema na kuanza kutafuta tax clearance kwa ajili ya kurenew leseni yako ya Biashara kwa Halmashauri husika unayofanya biashara
 
Nipo kwenye hatua za mwisho kabisa kabla ya kukutafuta Mkuu
 
First quater na mambo yake ndio yanakaribia kuisha kama kampuni au bishara ambayo inatambulika TRA sasa ni muda wa kufanya makadirio tuna siku sizizozidi 20 ni muhimu kufanya jambo hilo sasa ili kuondokana na bughudha huko baadaye. Inakusaidia nini inakuondolea penaty na fine ambazo unaweza kuziepuka, Pili unalipa kodi stahiki kwa sasa na hivyo kuweza kupewa Tax Clearance kwa uharaka na kwa kweli saa hizi huduma wameboresha. Tatu tax clearance inakusaidia katika kupata leseni hii ni moja na hitaji la lazima wakati unaomba leseni, pata tax clearance hata kama leseni yako inaexpire mwezi wa tisa au wa kumi ikifika wakati huo unachukua tax clearance yako unaenda halmashauri au Wizara ya Viwanda, Biashara na uwekezaji (Class A) kupata leseni yako.
Nawasilisha
 
Sasa Robo mwaka umepita kuna mambo makuu makubwa kwa hii robo ya pili kuhakikisha kuwa Audit ya financial statement za mwaka jana zinaisha na kulipa tofauti ya kodi uliyokadiria na ile iliyoonekana kwenye vitabu vyako. Na kwa sasa ni vyema vilevile uhakikishe kampuni yako au jina la biashara limeupdatiwa kwenye system ya Brela muhimu sana hilo.
 
Nyumbalo ubarikiwe sana mkuu....japokua nimechelewa kukutana na hii ila kwa hakika nimefunguka kiasi kikubwa sana na mtazamo wangu umebadikika sana juu ya ulipaji kodi na matumizi ya EFD Matchines...shukrani sana bro n God bless you abundantly man...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen Sifa zote na heshima arudishiwe Mungu


 
Asante mkuu, umetusaidia wengi. We are appreciate you Sir.
Kuhusu kampuni umelizungumzia kwa mapana SANA lakin bado cjaelewa "kusajili jina Biashara" ndo nin, Ina tofauti gani na kampuni, Ina kodi kulipia kila mwaka? Etc
 
Asante mkuu, umetusaidia wengi. We are appreciate you Sir.
Kuhusu kampuni umelizungumzia kwa mapana SANA lakin bado cjaelewa "kusajili jina Biashara" ndo nin, Ina tofauti gani na kampuni, Ina kodi kulipia kila mwaka? Etc
 
Karibu nimepokea hizo Ahsante naomba nimrudishie Mungu utukufu wote maana yeye ndio anastahili huo.Tofauti kubwa ya jina la biashara na ltd kampani ni nani anadaiwa baada ya jambo lolote paya kutokea kwa kampuni ukomo wa deni ni mali za kampuni lakini jina la biashara ambalo mara nyingi ni mtu binafsi mmoja halina ukomo kwenye biashara ile tu inaweza kuinga mpaka kwenye mali zote za mhusika. Pili unaweza kufungua jina la biashara mtu mmoja (Sole propriater) ingawa unaruhusiwa mpaka watu 20 wakati kwenye kampuni lazima wawe watu wawili nakuendelea. Hizo ni sababu chache ila hata kwenye maswala ya kodi kuna matakwa yake ambayo yako tofauti kidogo

Asante mkuu, umetusaidia wengi. We are appreciate you Sir.
Kuhusu kampuni umelizungumzia kwa mapana SANA lakin bado cjaelewa "kusajili jina Biashara" ndo nin, Ina tofauti gani na kampuni, Ina kodi kulipia kila mwaka? Etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…