Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa kupeleka malipo ya quater ya tatu TRA ni kesho Tarehe 30/ September hii ni moja ya quater ambayo watu wanasahau sana kupeleka au kulipa hayo makadirio tafadhali jipange
Mkuu naomba ku-volunteer ofisini kwako. Nimesoma Kodi bachelor pale chuo cha kodi. Nahitaji kujifunza vitu vingi zaidi
Hivi ukianzisha uwakala wa sim na bank leseni yake unatakiwa kuchukua wizara ya biashara au manispaa?Naomba kujua wale waliotumia mfumo mpya wa kuomba leseni ya Class A wanaonaje kuhusu kutumia mtandao kufanya hivyo.
Hivi ukianzisha uwakala wa sim na bank leseni yake unatakiwa kuchukua wizara ya biashara au manispaa?
Oook sawa mkuu na iwapo mtu amefungua kampuni mwezi wa 7 mwaka huu na kuanza kuoparate biashara yake wakati huo huo anatakiwa kuwasilisha repot ya mapato yake na matumizi kabla ya mwezi June wa mwaka ujao wa kodi lkn swali langu lipo je inawezekana ukaandika barua kwenda tra ili kuomba kufunga mahesabu yako mwaka ujao wa mapato mwezi wa 12 kwani kwa kufunga mwaka huu huu inakua na gharama kidog sasa ombi langu la kutaka kufaham ni je kuandika barua kwenda kwa kamishina inawezekana ili uombe mda wa mwaka ujao wa mapato ndo ufunge hesabu? Na vipi kuhusu brela nao utawandikia barua au utatakiwa kujaza annual return zao Sikh na mwezi uliosajiliwa?Uwakala wa simu ni manispaa Class B
Ahsante
Oook sawa mkuu na iwapo mtu amefungua kampuni mwezi wa 7 mwaka huu na kuanza kuoparate biashara yake wakati huo huo anatakiwa kuwasilisha repot ya mapato yake na matumizi kabla ya mwezi June wa mwaka ujao wa kodi lkn swali langu lipo je inawezekana ukaandika barua kwenda tra ili kuomba kufunga mahesabu yako mwaka ujao wa mapato mwezi wa 12 kwani kwa kufunga mwaka huu huu inakua na gharama kidog sasa ombi langu la kutaka kufaham ni je kuandika barua kwenda kwa kamishina inawezekana ili uombe mda wa mwaka ujao wa mapato ndo ufunge hesabu? Na vipi kuhusu brela nao utawandikia barua au utatakiwa kujaza annual return zao Sikh na mwezi uliosajiliwa?
Mkuu kuupdate taarifa la jina la biashara inatakiwa ifanyike kila baada ya mda ganiKwa waliona makampuni na majina ya biashara ni muda wa kuhakikisha ume update taarifa zako brela. Maana usichelewe kufanya hivyo ukawa siku unatakiwa kutafuta mkopo Benki wakawa wanashidwa kupata taarifa zako na hivyo kukunyima mkopo.
Mkuu kuupdate taarifa la jina la biashara inatakiwa ifanyike kila baada ya mda gani
Asante mkuu huu uzi wako japo nimechelewa kuuona ila naamini sijachelewa maana ni mwaka jana tu nilikua kwenye dilema mpaka nikaamua kusajili tu jina la biashara then kampuni nategemea come next year 2020 nifungue. Asante sanaKuupdate kwa sasa ni mara moja ili uwe kwenye ORS system ila kama unafungua sasa tayari utakuwa uko kwenye ORS. So utatakiwa kiwa mwaka ufanye returns ambayo unalipa maintanance fee ya Tshs 5,000/. Ahsante
Asante mkuu huu uzi wako japo nimechelewa kuuona ila naamini sijachelewa maana ni mwaka jana tu nilikua kwenye dilema mpaka nikaamua kusajili tu jina la biashara then kampuni nategemea come next year 2020 nifungue. Asante sana
Mkuu unaweza kuwa na ujuzi wa utaratibu wa kusajili international company pamoja na mambo ya kodi yapoje? Kuna ishu nilikua najadili na potential partner ambaye tayari anakampuni ya mambo ya digital solutions nje ya bongo sasa tunataka kuileta na bongo ..Karibu naamini kuna mambo muhimu sana kwa kuendesha kampuni na hakunaga kuchelewa kufanya sawasawa utakapokuwa umeelewa anza hapo hapo kufanya sawasawa nawe utaona mambo mazuri
Mkuu unaweza kuwa na ujuzi wa utaratibu wa kusajili international company pamoja na mambo ya kodi yapoje? Kuna ishu nilikua najadili na potential partner ambaye tayari anakampuni ya mambo ya digital solutions nje ya bongo sasa tunataka kuileta na bongo ..
Basi ntarudi tena kwako ngoja nione seriousness yake...na kama mimi nikianzisha kampuni na mtu wa nje ya bongo hapo inakuaje kama umiliki ni mimi na yeye foreignerNdio Mkuu hizo nimefanya sana tu. sasa inategemea wanataka wapewe certificate of compliance au wanataka with the same name wasili local company. Kwenye maswala ya kodi faida inayopatikana hapa itapigwa 30% kama kawa kwenye corporate na kodi nyingine kama withholding ya rent na hapo naona kama service, SDL na WCF zitahusika tu kama kampuni nyingine.
Basi ntarudi tena kwako ngoja nione seriousness yake...na kama mimi nikianzisha kampuni na mtu wa nje ya bongo hapo inakuaje kama umiliki ni mimi na yeye foreigner