Naomba hili nilisisitize hata kama kampuni yako hajafanya kazi au biashara husika lakini una TIN number returns za TRA ni lazima kupeleka ndio maana wanaruhusu NIL returns.
Ahsante
Je, kiasi cha mtaji utakachojaza wakati wa kukadiliwa kodi kina athari yoyote katika ukuaji wa kampuni ?Naomba hili nilisisitize hata kama kampuni yako hajafanya kazi au biashara husika lakini una TIN number returns za TRA ni lazima kupeleka ndio maana wanaruhusu NIL returns.
Ahsante
Je, kiasi cha mtaji utakachojaza wakati wa kukadiliwa kodi kina athari yoyote katika ukuaji wa kampuni ?
Nimekuelewa, sasa mbona watu huwa mitaji ikikua wanaenda tena BRELA kurekebisha Documents, kwanini huwa wanafanya hivyoKodi ya mapato kikawaida huwa unakadiriwa kutoka kwenye faida au mapato ukitoa matumizi. Na kitaratibu kampuni huwa hakadiriwi kodi ila yenyewe ndio inajikadiria kutokana na mahesabu inayotegemea kupata mwaka husika. Katika kanuni za kawaida ukianza biashara na mtaji mkubwa inategemewa utapata faida kubwa na hivyo kulipa kodi kubwa. Naamini hapo nitakuwa nimejieleza sawia
Nimekuelewa, sasa mbona watu huwa mitaji ikikua wanaenda tena BRELA kurekebisha Documents, kwanini huwa wanafanya hivyo
Mkuu Nyumbalao nimekuelewa kabisa, kwahiyo kitaalamu unashauri nini, watu wajaze mitaji halisi, kidogo au kubwa. Nini ni ushauri wako kuhusu hili
na vipi kuhusu kusajiliwa kwa kampuni brela tu ila TRA bado hata TIN no nayo bado je natakiwa kupeleka returns zangu!? hapo juu nimeona umeongelea kuhusu kupeleka brela...imekaaja hiyo!!Naomba hili nilisisitize hata kama kampuni yako hajafanya kazi au biashara husika lakini una TIN number returns za TRA ni lazima kupeleka ndio maana wanaruhusu NIL returns.
Ahsante
na vipi kuhusu kusajiliwa kwa kampuni brela tu ila TRA bado hata TIN no nayo bado je natakiwa kupeleka returns zangu!? hapo juu nimeona umeongelea kuhusu kupeleka brela...imekaaja hiyo!!
copyright na patents unaipata BRELA au TCCIAVilevile kama kampuni yako inaugunduzi au umejikita kwenye mambo ambayo unaona unataka uwe na faida nayo usisahau kupata utaalamu kuhusu Copyright na Patents ni muhimu katika kuangalia biashara yako inakuwa kubwa na salama
copyright na patents unaipata BRELA au TCCIA