Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mkuu unamaanisha kusajili Trademarks tu mpaka nitafute mwanasheria tena ?Ndugu niliweka hapo juu kusajili zaidi ya 50m mtaji ni Tshs 440,000/ Hapo iwe billion au hata Trillion bei ni hiyo
Trade mark naomba tembelea website hii ya brela wameeleza taratibu zote na mpaka bei zake
BRELA ila ukitaka kufanya hili ushauri wangu ni vyema kutafuta mwanasheria mbobezi kwenye eneo hilo naamini utanufaika zaidi kuliko kutaka kufanya mwenyewe.