Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Brela ndugu hao ndio wasajili. TCCIA wanaweza kukupa ushauri jinsi ya kufanikisha lakini ni vyema utafute lawyer aliyebobea kwenye hii kitu inakuwa rahisi.
Ahsante
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili kuhakikisha hiyo pantent haijawahi kuwa registered elsewhere duniani.
 
copyright na patents unaipata BRELA au TCCIA
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili kuhakikisha hiyo pantent haijawahi kuwa registered elsewhere duniani.

Pia zingatia kwamba patent inakuwa registered for a certain life time, muda huo ukiisha hiyo pantent inakuwa public hivyo yoyote ataweza kuitumia either for private uses au commercial gains.
 
Nashauri waweke hisa kuwa kubwa ila issued iendane na hali ya mtu ili wakati wa kuongeza unaongeza kwenye issue ambayo ni process rahisi kuliko kuchange memerts yote kwa ajili ya kuongeza hisa. Naamini 500m to 1 B ni range nzuri. Halafu ukanzia na kuissue 5m to 10 m sio mbaya
Hapa sijakuelewa Mkuu Nyumbalao unamaanisha mtu kujaza mtaji wa 5M mpaka 10M, Ni range nzuri ambayo haitakuwa na complications za kubadili MEMARTS Nzima au unamaanisha 500M to 1B?
 
NGO nyingi haziendi kulipa kodi hasa ile ya mapato lakini kwa brela itabidi upeleke returns kama umesajili brela. Ila kuna wengine wanasajili tu kule Wizara ya husika ya NGO ..... ili kuepuka hizi za brela na hata TRA soma chini jinsi ya kufanya hivyo
TARATIBU ZA USAJILI WA NGOs CHINI YA SHERIA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs) NA. 24 YA MWAKA 2002

Maombi ya usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yatakuwa na viambatanisho vifuatavyo kama ilivyopendekezwa na Sheria hii katika kifungu cha 12(2)

a) Katiba ya Shirika lisilo la Kiserikali
b) Taarifa yenye majina na saini za wanachama waanzilishi
c) Maelezo binafsi ya wanachama na picha
d) Ada ya usajili
e) Anuani na sehemu yalipo makao makuu ya ofisi za Shirika Lisilo la Kiserikali
f) Maelezo yoyote au taarifa kama itakavyohitajiwa na Msajili

Maombi ya usajili wa Shirika Lisilo la Kiserikali yatakuwa kwenye fomu maalum NGO A form No. 1
Maombi ya Cheti cha ukubalifu (certificate of Compliance) yatakuwa na viambatanisho vifuatavyo: -

a) Kivuli halisi cha Katiba ya Shirika Lisilo la Kiserikali.
b) Cheti cha usajili chini ya Sheria nyingine tofauti na Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.
c) Taarifa yenye majina na saini za wanachama waanzilishi.
d) Maelezo binafsi ya wanachama na picha
e) Anuani na sehemu yalipo makao makuu ya ofisi za Shirika Lisilo la Kiserikali.
f) Maelezo yoyote au taarifa kama itakavyohitajiwa na Msajili.

Maombi ya Cheti cha ukubalifu yatakuwa kwenye fomu maalum NGO A form No, 3.

ADA
Ada ya usajili ngazi ya Wilaya itakuwa ni Shs 41,500/= kama ifuatavyo:
- Ada ya faili 15,000/ =
- Ada ya usajili 25,000/=
- Stamp duty 1,500/=

Ada ya usajili ngazi ya Mkoa itakuwa ni Shs 56,500/= kama ifuatavyo:
- Ada ya faili 15,000/=
- Ada ya usajili 40,000/=
- Stamp duty 1,500/=

Ada ya usajili ngazi ya Taifa itakuwa ni Shs 66,500/= kama ifuatavyo:
- Ada ya faili 15,000/=
- Ada ya usajili 50,000/=
- Stamp duty 1,500/=

Ada ya Mashirika ya Kimataifa itakuwa ni USD 267 kama ifuatavyo:
- Adayafaili US$ 15
- Ada ya usajili US$ 250
- Stamp duty US$ 2

Kila Shirika lisilo la Kiserikali lililosajiliwa na kupatiwa cheti cha ukubalifu chini ya Sheria hii, linatakiwa kulipa ada ya mwaka ya Shs. 50,000/= au US$ 60 kwa Mashirika ya Kimataifa.
Mashirika haya pia yatapaswa kuwasilisha taarifa zake za kazi za kila mwaka (Annual Report) ambazo zitakuwa kwenye Fomu maalumu NGO A Form Na. 10 kwa Msajili Mkuu kupitia kwa Wasajili Wasaidizi.
Mashirika ya Kitaifa na Kimataifa yatasajiliwa moja kwa moja na Msajili Mkuu. Taratibu zake zitakuwa kama zilivyo taratibu za usajili katika ngazi nyingine isipokuwa kutakuwa na tofauti katika ada ya usajili, halikadhalika maombi ya usajili katika ngazi hizi yatawasilishwa moja kwa moja kwa Msajili Mkuu.

MAMBO MBALIMBALI YA KUZINGATIWA
Utaratibu wa malipo ya ada ya usajili/ mwaka

Malipo ya ada ya usajili wa NGOs na ada za mwaka yatafanyika kama ifuatavyo:

(i) NGOs zote zitakazosajili katika ngazi ya Mikoa na Wilaya watalipa fedha katika Akaunti Nambari 16:29 Miscellaneous Deposit (Akaunti hii ni ya Hazina iliyoko kila mkoa) kwenye matawi ya Benki ya NMB katika maeneo yao.

(ii) NGOs zitakazosajili ngazi ya Kitaifa na Kimataifa watalipa fedha zao katika Akaunti Nambari 16:140 Miscellaneous Deposit (Hazina Ndogo mkoa wa Dar es Salaam).

Asante sana umetoa zawadi ya sikukuu ya Uhuru hiyo.Huu ndio UZALENDO wa kweli.Asante kwa elimu.Vipi je nikifingua NGO LIMITED BY GURANTEED.Kodi unalipa hivyo hivyo!
 
Ni kweli ni sawa nilichanganya na Trade Mark ( Trade mark na Patent ndio zinasajiliwa Brela).

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili kuhakikisha hiyo pantent haijawahi kuwa registered elsewhere duniani. Pia zingatia kwamba patent inakuwa registered for a certain life time, muda huo ukiisha hiyo pantent inakuwa public hivyo yoyote ataweza kuitumia either for private uses au commercial gains.
 
Ni kweli ni sawa nilichanganya na Trade Mark ( Trade mark na Patent ndio zinasajiliwa Brela).
Mkuu nataka kusajili jina la bidhaa ( brand ) gharama ni kiasi gani ?
- Na je, nitatakiwa kusajili jina pamoja na logo yake ( Yaani mfano Azam wamesajili neno Azam, wakasajili tena logo ya Azam au ikoje ?
- Pili ni nini tofauti ya kusajili kama R au TM na umuhimu wake ni nini ?
- Na ukienda kusajili, unatakiwa kuwa umeshajili kabisa na kampuni au haina maana wakati wa usajili ?

Nyumbalao hapa naona umeruka
 
Ni kweli ni sawa nilichanganya na Trade Mark ( Trade mark na Patent ndio zinasajiliwa Brela).

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili kuhakikisha hiyo pantent haijawahi kuwa registered elsewhere duniani. Pia zingatia kwamba patent inakuwa registered for a certain life time, muda huo ukiisha hiyo pantent inakuwa public hivyo yoyote ataweza kuitumia either for private uses au commercial gains.
 
Ni vizuri kuanza na kuweka 500m to 1 billion kama mtaji ( Capital) ila una issue au unaanza na 5m to 10m na kampuni yako kwahiyo ukiwa na room ya kuongeza mtaji au hata kuuza share yako kidogo kwa other investor bado unakuwa na room. Kuliko kuweka 5m or 10m kama share capital ukikuwa inabidi ubadilishe MEMARTS yote wakati hiyo ya kwanza unajaza form tu.
Naamini nimeeleweka kama bado uliza nitahakikisha unaelewa. Hata kwa mifano mkuu

Hapa sijakuelewa Mkuu Nyumbalao unamaanisha mtu kujaza mtaji wa 5M mpaka 10M, Ni range nzuri ambayo haitakuwa na complications za kubadili MEMARTS Nzima au unamaanisha 500M to 1B ?
 
Ni vizuri kuanza na kuweka 500m to 1 billion kama mtaji ( Capital) ila una issue au unaanza na 5m to 10m na kampuni yako kwahiyo ukiwa na room ya kuongeza mtaji au hata kuuza share yako kidogo kwa other investor bado unakuwa na room. Kuliko kuweka 5m or 10m kama share capital ukikuwa inabidi ubadilishe MEMARTS yote wakati hiyo ya kwanza unajaza form tu.
Naamini nimeeleweka kama bado uliza nitahakikisha unaelewa. Hata kwa mifano mkuu
Unamaanisha hata kama mtaji wangu ni 5M- 10M Mimi nijaze tu 500M-1B na isiwe tatizo lolote ?
- Na unaposema una "issue" unakuwa unamaanisha nini ?
 
Habari,nahitaji kufungua branch ya kampuni mkoa mwingine taratibu zikoje?
 
Nyumbalao

Mkuu acha niulize swali kdg, hapo paragraph ya pili umesema kila mwaka unatakiwa upeleke annual returns Brela, hiyo Annual returns ni Mapato yako kwa mwaka au ni vipi naomba kueleweshwa Mkuu?
 
Ndio ila issued kwenye financial ndio utaweka hiyo ulioyoweka benki au kwa matumizi ya kampuni kwa mwaka husika. Issued shared ni ile ambayo sasa umeweka kwenye utumiaji.
Tofauti ya kuwa na authorized capital (Mtaji uliodhinishwa ) kwa kila kiasi angalia hapo chini halafu uangalie garama ya kuja kuongeza kwa kutengeneza MEMARTS mpya

Company whose nominal share capital is:
- More than Tshs. 20,000/= but not more than Tshs. 1,000,000/= TSHS 95,000 /=
- More than Tshs. 1,000,000/= but not more than Tshs. 5,000,000/= TSHS 175,000 /=
- More than Tshs. 5,000,000/= but not more than Tshs. 20,000,000/= TSHS 260,000 /=
- More than Tshs. 20,000,000/= but not more than Tshs. 50,000,000/= TSHS 290,000 /=
- More than Tshs. 50,000,000/= TSHS 440,000 /=

Unamaanisha hata kama mtaji wangu ni 5M- 10M Mimi nijaze tu 500M-1B na isiwe tatizo lolote ?
- Na unaposema una "issue" unakuwa unamaanisha nini ?
 
Kaka uliza ila ukiona ni jamob limekaa kwa focus ya biashara yako zaidi au ni confidential information niandikie Pm nitakujibu na yale ambayo sina majibu nitakueleza hivyo. Kwa maswali ya jumla ( General) wewe uliza maana hapa JF ni kisima cha taarifa mbalimbali kuna watu wanajua mambo mengi mno humu huwezi hamini na kuuliza sio ujinga. Maana hakuna mtu anayejua mambo yote.

Je tunaruhusiwa kuuliza maswali hapa?
 
Ni vizuri kuanza na kuweka 500m to 1 billion kama mtaji ( Capital) ila una issue au unaanza na 5m to 10m na kampuni yako kwahiyo ukiwa na room ya kuongeza mtaji au hata kuuza share yako kidogo kwa other investor bado unakuwa na room. Kuliko kuweka 5m or 10m kama share capital ukikuwa inabidi ubadilishe MEMARTS yote wakati hiyo ya kwanza unajaza form tu.
Naamini nimeeleweka kama bado uliza nitahakikisha unaelewa. Hata kwa mifano mkuu
Hapo nimekuelewa mkuu. Gharama za kusajili kampuni yenye mtaji huo wa 500B to 1B ni kiasi gani ?

- Nimekuuliza pia kuhusu Trademarks hapo juu sijapata jibu mkuu

Nyumbalao
 
Asante kwa taarifa nzuri kwa wenye biashara zao
 
Ndugu niliweka hapo juu kusajili zaidi ya 50m mtaji ni Tshs 440,000/ Hapo iwe billion au hata Trillion bei ni hiyo

Trade mark naomba tembelea website hii ya brela wameeleza taratibu zote na mpaka bei zake
BRELA ila ukitaka kufanya hili ushauri wangu ni vyema kutafuta mwanasheria mbobezi kwenye eneo hilo naamini utanufaika zaidi kuliko kutaka kufanya mwenyewe.

Hapo nimekuelewa mkuu. Gharama za kusajili kampuni yenye mtaji huo wa 500B to 1B ni kiasi gani ?

- Nimekuuliza pia kuhusu Trademarks hapo juu sijapata jibu mkuu

Nyumbalao
 
Ahsante sana Mkuu Nyumbalao kwa kutoa elimu bure, Mungu akubariki Zaidi na tuombe waweze kutokea wengi kama wewe!
 
Back
Top Bottom