Mkuu unamaanisha kusajili Trademarks tu mpaka nitafute mwanasheria tena ?Ndugu niliweka hapo juu kusajili zaidi ya 50m mtaji ni Tshs 440,000/ Hapo iwe billion au hata Trillion bei ni hiyo
Trade mark naomba tembelea website hii ya brela wameeleza taratibu zote na mpaka bei zake
BRELA ila ukitaka kufanya hili ushauri wangu ni vyema kutafuta mwanasheria mbobezi kwenye eneo hilo naamini utanufaika zaidi kuliko kutaka kufanya mwenyewe.
Habari,nahitaji kufungua branch ya kampuni mkoa mwingine taratibu zikoje?
Mkuu nikibadilisha directors Brela nalazimika kuwataarifu tra?
Thanx Nyumbalo,na je iwapo director wa kampuni kapata matatizo yeye kama yeye na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu kampuni inaweza kuendelea na kazi zake bila yeye?A registered company inaweza kufanya biashara popote. Utaratibu ulipo sasa ukifungua branch unaenda TRA wanakupa form ya kujaza ili ujulikna ulipo na kupata Tax clareance kwa ajili ya kupata leseni kwenye halmashauri husika
Thanx Nyumbalo,na je iwapo director wa kampuni kapata matatizo yeye kama yeye na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu kampuni inaweza kuendelea na kazi zake bila yeye?
Hii shida ipo sana na kuajiri mhasibu wengi wanataka mshahara mkubwa, kwaiyo nifanyaje mkuu?
Sio lazima uajiri muhasibu, unaweza ukawa unamkodi anakufanyia kazi unamlipa anasepaHii shida ipo sana na kuajiri mhasibu wengi wanataka mshahara mkubwa, kwaiyo nifanyaje mkuu?
Sio lazima uajiri muhasibu, unaweza ukawa unamkodi anakufanyia kazi unamlipa anasepa
naomba unieleweshe faida na hasara za kufungua kampuni as a sole proprietor na partnershipSafii ahsante mkaruka
Asante sana mkuuMkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili kuhakikisha hiyo pantent haijawahi kuwa registered elsewhere duniani. Pia zingatia kwamba patent inakuwa registered for a certain life time, muda huo ukiisha hiyo pantent inakuwa public hivyo yoyote ataweza kuitumia either for private uses au commercial gains.
naomba unieleweshe faida na hasara za kufungua kampuni as a sole proprietor na partnership
Noted ntakutafuta for more details ubarikiwe sana,Nashauri waweke hisa kuwa kubwa ila issued iendane na hali ya mtu ili wakati wa kuongeza unaongeza kwenye issue ambayo ni process rahisi kuliko kuchange memerts yote kwa ajili ya kuongeza hisa. Naamini 500m to 1 B ni range nzuri. Halafu ukanzia na kuissue 5m to 10 m sio mbaya